Nataka Niwe na Wewe Milele......

Nataka Niwe na Wewe Milele......

K' Matata mwenye pumzi zake.
Na ukongwe wako bado unakimbia mbio ndefu namna hiyo (jioni - 4 usiku si mchezo).
Ngoja nikuandalie Gold medal.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahahahahhahahaa wanasemaga uzee ni uchakavu....

Vile unajiweka ndo unakuwa.... umri ni mabadiliko ya namba tuu ila unavojiweka unaweza wapa mtihani watu kuamini umri wako.
 
Write your reply...ngoja nipite kimya kimya

Pole kwa kushindwa kuishi maneno yako heheheheheheehheh

Matata Kasie hapana chezea yeye hahahahahhaaa.
 
Hahaaha,
Tutaingia ulingoni,
Mshindi anabeba jikoo!!

Hahahahahhaaa Mangii


Umetangaza vita rasmi, shauri yako. Haya jiandae ila usiniumizie mali ya Dadiii wangu..... utamu wake sitaki kuukosa hata kidogo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom