The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,616
Niko DRC ngoja nikufanyie ka utafiti hasa kuhusus actors na directors...
Muulizie mweze ngangura hapo Kinshasa...atakusaidia
Niko DRC ngoja nikufanyie ka utafiti hasa kuhusus actors na directors...
Niko DRC ngoja nikufanyie ka utafiti hasa kuhusus actors na directors...
nenda DRC kuna ma directors wa film za ukweli
tafuta hii movie 'VIVARIVA' utaniambia
wapo wengi na movie zao zinaoneshwa hadi europe...
movie kali sana lakini ilifanywa na wafaransa, wacongo wali act tu
Jack bauer nimemiss yaani fox wananinyima raha movie za intelligence zinahitaji kufumba macho kwenye kuwekeza pesa inahitaji za uhakika series kama intelligence 24 live day zimetumia billions of dollarsAisee Good idea hiyo mimi naomba niwe actor napenda sana movie za intelligence na heroic adventures kama za JackBauer etc
Usiongee usichokijua
Director wa VIVARIVA ni mkongo anaitwa Mungo
wa lavie ebelle anaitwa Mweze Ngagura ni mkongo pia
nenda DRC kuna ma directors wa film za ukweli
tafuta hii movie 'VIVARIVA' utaniambia
wapo wengi na movie zao zinaoneshwa hadi europe...
hizo pesa kuna mambo kibao ya kufanya sio lazima movie jenga hospital ya vichaa utusaidie mkuu
Tunaanza na ya wizi wa almas mwadui.