Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,951
Salamu zenu wenzangu.
Mambo ya bongo movie yamenichosha.
Mimi napenda sana kutazama movie na nilikuwa na ndoto ya kuwa mmoja ya wafadhili wakubwa wa movie.
Sasa nimeamua kuwekeza kama milioni miamoja hivi kwaajiri ya kutengeneza movie ya kijasusi.
Sijui ninaweza kupata wacheza movie wazuri kwa hapa bongo!!? maana nikiwacheki akina Rey wamekaa divyo sivyo.
Unajua Jeshi letu la Tanzania limefanya operation nyingi sana kwenye nchi mbalimbali. Kwa hiyo tunaweza kabisa tengeneza bonge la movie ya kijasusi. Hebu nipeni Idea inawezekana kweli?