Nataka nisome PhD nchini

Unataka kusoma by thesis au coursework and dissertation?!
Tuanzie hapo
 
Naomba kujuzwa hili, hivi inawezekana Ukafanya PhD kwenye technical area ilihali Master's haikuwa technical kama hiyo Masters ya MBA (non technical)!?

Wajuvi wa mambo tafadhali mnitoe tongotongo hapa!
 
Wakuu mimi nilisoma BSc. Geology, kisha MBA sasa nataka nianze PhD katika kuweka CV vizuri, naomba msaada niaweza kupata wapi PhD in Geology?
Haiwezekani, ulisharibu tayari. 😂😂😂🏃🏃🏃🏃🏃🏃hapo kama lengo lako ni kuwa lecturer soma mineral economics.
 
Back
Top Bottom