Nataka nirudi kwenye simu za button

Nataka nirudi kwenye simu za button

Itel yoyote browser ya operamini halafu uwe na laini ya halotel unga bando la bila kikomo 200 MB utatumia hadi mwezi.
 
Itel yoyote browser ya operamini halafu uwe na laini ya halotel unga bando la bila kikomo 200 MB utatumia hadi mwezi.
Hichi wanaita smart 4g kipoje mkuu.. maana ni muda mrefu sana sijatumia new model za simu za button zaidi ya Nokia vitochi
 
Naambiwa ki smart 4g na kenyewe sio mbaya Japo siijui
iko vizuri ila upate smart 4g ya tekno au itel,hizo nyingine sijui azumi betri ni dk sifuri tu isha isha.kumbuka hizo smat 4g hazina operamin
 
iko vizuri ila upate smart 4g ya tekno au itel,hizo nyingine sijui azumi betri ni dk sifuri tu isha isha.kumbuka hizo smat 4g hazina operamin
mkuu hapa mimi natumia azumi smart 4g kiko vizuri google search ipo pia ni kweli chaji havikai lakin vinaridhisha ukiwa mtumiaji wa kawaida.
 
Hivi siku hizi Kuna watu bado wananunua simu!!!!!!!!

Mkuu unaogopa kwenda jela????
 
Back
Top Bottom