Nataka nipate mimba, naomba msaada

Ikula

Member
Feb 4, 2017
87
138
Wanajf salaam,
Mimi ni binti wa miaka 24 nimeanza period tarehe 4 na kumaliza tarehe 6 mwezi huu nisex lini ili nipate mimba maana natamani sana mtoto.

Natanguliza shukrani
 
Wanajf salaam,Mimi ni binti wa miaka 24 nimeanza period tarehe 4 na kumaliza tarehe 6 mwezi huu nisex lini ili nipate mimba maana natamani sana mtoto.Natanguliza shukrani
Sex Mida kuanzia Tarehe 16 -18,

Lakini je umeolewa?
Maana usije hapa tena kuomba ushauri wa jinsi yakupata mbinu zakumshawishi /kumuomba baba Mtoto atoe Pesa ya matumizi..

Je huo mtego Unataka kumtegeshea Nani?
Angalia asije Akawa mume wa mwenzako.

Je yupo tayari kuzaa na ww?
Kama hayupo tayari je wewe upo tayari kuwa single Mother?
 
Nimeolewa
 
Wanajf salaam,Mimi ni binti wa miaka 24 nimeanza period tarehe 4 na kumaliza tarehe 6 mwezi huu nisex lini ili nipate mimba maana natamani sana mtoto.Natanguliza shukrani
Piga game siku zote kuanzia Mara baada ya kumaliza hedhi hadi siku ya 17 baada ya kumaliza.....hiyo ndio njia raisi kwakufanya hivyo kama una uwezo wakushika mimba basi hapo haina mjadala.Nakutakia mafanikio mema.
 
Usizae kwa sababu unatamani mtoto, bt fanya hivyo ukiwa kwenye right situation.
 
Wanajf salaam,Mimi ni binti wa miaka 24 nimeanza period tarehe 4 na kumaliza tarehe 6 mwezi huu nisex lini ili nipate mimba maana natamani sana mtoto.Natanguliza shukrani
4.2.17 - 8.2.17 Damu kutoka na kukata kabisa

9.2.17 - 13.2.17 Siku salama ambazo huwezi pata ujauzito

14.2.17 - 21.2.17 siku za kupata ujauzito

22.2.17 - 3.3.17 Siku salama ambazo huwezi pata ujauzito
 
Back
Top Bottom