Labda na yeye ni miongoni mwao!Evidence ya nini? kama unahitaji evidence ya kuwa kuna wachungaji wanatumia matatizo ya waumini wao kama mtaji, basi hujui kinachoendelea kwenye huu ulimwengu
kwanini umeamua kumtafuta mchungaji boaz solo wakati watumishi wa Mungu wako wengiSina furaha sina amani kwa maisha nayoishi nataka nimrudie Yesu anisamehe dhambi nahisi ndo zinanikwamisha. Mda mwingine huwa nasali mwenyewe lakini naona kama Roho Mtakatifu yupo mbali na mimi, sala zangu hazileti matunda kwa sasa nataka niokoke nisimame sawa sawa shetani ananitesa.
Nahitaji nguvu ya wengi
Nipo Iringa namuhitaji mchungaji Boaz Solo mwenye radio ya Overcomes Fm.
mpendwa ungemshauri vizuri bsasiKumbe unataka mchungaji sio wokovu? Pole yako!.
Wokovu sio mchungaji ... wokovu unautafuta kwenye Biblia, unasoma neno na kuomba Roho mtakatifu akuongoze kujua kweli. Roho Mtakatifu akishakuongoza anakuelekeza namna ya kuomba.
Hapo ulipo una malaika ila kama una lundo la dhambi malaika huyo yuko mateka; hakusaidii kwa lolote.
Tafuta kanisa lililo karibu nawe!
Tatizo anamtafuta mchungaji mwenye radio badala ya kumtafuta Yesu Kristo. Lakini kama ana nia ya kubadilika, atapata hitaji la moyo wake. Wewe tayari ulishamkabidhi mwokozi maisha yako?
Ninaishi ndani ya wokovu mkuu
Karibu kwenye upako
Hongera zako
nashukuru kwa michango yenu inatia nguvu nahitaji niishi maisha yakumpendez Mungu nipate amanikwanini umeamua kumtafuta mchungaji boaz solo wakati watumishi wa Mungu wako wengi
hata mm ni mama paroko naweza kukuombea ukaokoka cha muhimu wewe kuwa umekubali na kufanya maamuzi ya ko kama kweli umeamua kuokoka basi niPM nikuombee kwani Mungu ana watumishi wengi
MAN kimsboy HIVI HILO JUKWAAA LA DINI NI SIFA GANI MTU UWE NAZO NDO UWEZE KUSOMA THREAD ZAKE.MANA TANGU 2011 IF I NOT MISTAKEN NIJIUNGE JAMII FORUM NIPO TANGA ADVANCE SHULE.HADI LEO SIJAWAHI ACCESS.nishaomba sana kwa @moderators holaaaa.JAMAN nawaombaaaa NIUNGANISHENImods peleken jukwaa la dini hili ni jukwaa la siasa
Daah! Humtafuti Yesu unamtafuta Boaz..endelea kumtafutaNipo Iringa namuhitaji mchungaji Boaz Solo mwenye radio ya Overcomes Fm.
Kwanini wamuongoze sala ya kitubio asijìongoze mwenyewe si ana ufahamu tu wakutosha?MPE yesu maisha yako yote,kumbuka wokovu ni kutangaza vita na shetani lakini Mungu atakushindia
Achana na Mchungaji Boazi tafuta kanisa lolote LA walokole wakuongoze sala ya toba
Siyo kila kanisa linamuhubiri Mungu wa kweli bibie, mengine yanawatukuza binadamu wanaojiita manabiiTafuta kanisa lililo karibu nawe!