Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,401
- 58,965
Achana nalo bro..siyo kinyonge but siku moja utakuja kujiona phaller mmoja hivi itakua too lateDah naona kama ntapoteza mechi

Mmh au we ni nabii🤔Achana nalo bro..siyo kinyonge but siku moja utakuja kujiona phaller mmoja hivi itakua too late
Sawa mkuu ila tusimpge pigo?Achana naye, tafuta mwanamke mwingine.
nimecheka sana ubaya ubayaa tuuZimia sigara kwenye kibanda cha nyasi hicho, kisha ondoka huku unapiiga mluzi
Usiwe sababu ya kuvunja udugu wa watu, dhima yake ni kubwa sana kwa Mungu. Huyo binti si mkeo, usimuonee uchungu kiasi hicho. Shhukuru Mungu umejua tabia zake mapema kabla kumfanya mke. Kama anaweza kulala na mume wa dada yake hatoshindwa kulala na kaka yako. Piga chini.
Kumbuka ukisanua unachojua athari haitokuwa kwake tu. Utavunja udugu wake na dada yake, utavunja ndoa ya dada yake na mumewe na pengine kuleta mtafaruku katika familia nzima. Sasa huoni kuwa utakuwa unaadhibu wasikokuwa na hatia.
Za mwizi daima ni 40, kama dada yake anajua kuna kukutana baina yake na shemeji yake basi ni swala la muda tu atawakamata na hapo hutokuwa na
Ni rafiki, hawara au mchumba? maana by definition mchumba ulishamchumbia/posa kwa wazazi wake. Na ukimposa mwanamke kwa wazazi si rahisi uchumba udumu kwa miaka mitatu atakuchoka tu......na ndicho kimetokeaNina mchumba angu ambae sasa tuna miaka mitatu nikiwa nae ila mienendo yake inaanza kunitia wasiwasi sana na kuna vitu nimeshabaini kwake.
1. Kuna shemeji yake ambaye kamuoa dada yake mkubwa anamtaka na wana mawasiliano ya karibu hadi kamtumia kiasi cha pesa mara kadhaa jumla haiwezi kupungua laki mbili na wanakutana mara kadhaa na huwa haniambii mpaka nijue kwa jitihada zangu au mpaka dada yake amtukane kuhusu swala la kukutana na mme wake bila taarifa yeye kupata maana nahisi kama kahack simu ya mumewe.
2. Mara zote nikimuuliza kuhusu ili jambo anakua mkali sana na kufanya kama vile mimi simuamini ilihali anasema ukweli na mambo mengine mengi ambayo yananifanya nimchome kwa ndugu zake.
NB: Kuna mambo ambayo mimi nayajua mengi na nikimwambia dada yake lazima tu apo litokee jambo kubwa sasa nawaza apa nimchome ili kila mtu akose kila kitu maana mimi hilo nilikua nalisamehe ila bado kuna la ex wake kwaio nataka nimchome naombeni ushauri wenu wakuu.
Mwaka wa pili tangu posani rafiki, hawara au mchumba? maana by definition mchumba ulishamchumbia/posa kwa wazazi wake. Na ukimposa mwanamke kwa wazazi si rahisi uchumba udumu kwa miaka mitatu atakuchoka tu......na ndicho kimetokea
It is too long. ukishatoa posa kwa kawaida usipitishe muda mrefu hivyo, in most cases miezi sita isizidi. Maana ukishatoa posa binti huwa na matarajio na hamu ya kwenda kuanza maisha, ukichelewa shauku inaanza kupotea.Mwaka wa pili tangu posa
Bro ukishakuwa na malengonna mwanamke hadinkutoa posa maana yake imebaki ndoa kwaio mienendo yake yote inabidi iwe kwenye circle ninayoijua1. Inaonekana wewe ni mtu wa visasi...
2. Inaonekana wewe ni wale wanaume wana wivu kama dume la nyuki...
3. Tabia kama hizo mwanamke wako akizigundua basi tarajia kuachwa, na ndio maana umepigwa chini tayari...
Kubali yaishe, tafuta mchuchu mwingine
you are right lakini umewafumania wakiwa wanamenyana?Haiwezi kuwa sababu ya kufanya ngono na shemeji yake
Bro ukishakuwa na malengonna mwanamke hadinkutoa posa maana yake imebaki ndoa kwaio mienendo yake yote inabidi iwe kwenye circle ninayoijua
Miaka mitatu uchumba? Unachukua degree ya ualimu au? Uchumba mwisho miezi sita😁😁Nina mchumba angu ambae sasa tuna miaka mitatu nikiwa nae ila mienendo yake inaanza kunitia wasiwasi sana na kuna vitu nimeshabaini kwake.
1. Kuna shemeji yake ambaye kamuoa dada yake mkubwa anamtaka na wana mawasiliano ya karibu hadi kamtumia kiasi cha pesa mara kadhaa jumla haiwezi kupungua laki mbili na wanakutana mara kadhaa na huwa haniambii mpaka nijue kwa jitihada zangu au mpaka dada yake amtukane kuhusu swala la kukutana na mme wake bila taarifa yeye kupata maana nahisi kama kahack simu ya mumewe.
2. Mara zote nikimuuliza kuhusu ili jambo anakua mkali sana na kufanya kama vile mimi simuamini ilihali anasema ukweli na mambo mengine mengi ambayo yananifanya nimchome kwa ndugu zake.
NB: Kuna mambo ambayo mimi nayajua mengi na nikimwambia dada yake lazima tu apo litokee jambo kubwa sasa nawaza apa nimchome ili kila mtu akose kila kitu maana mimi hilo nilikua nalisamehe ila bado kuna la ex wake kwaio nataka nimchome naombeni ushauri wenu wakuu.
Nina mchumba angu ambae sasa tuna miaka mitatu nikiwa nae ila mienendo yake inaanza kunitia wasiwasi sana na kuna vitu nimeshabaini kwake.
1. Kuna shemeji yake ambaye kamuoa dada yake mkubwa anamtaka na wana mawasiliano ya karibu hadi kamtumia kiasi cha pesa mara kadhaa jumla haiwezi kupungua laki mbili na wanakutana mara kadhaa na huwa haniambii mpaka nijue kwa jitihada zangu au mpaka dada yake amtukane kuhusu swala la kukutana na mme wake bila taarifa yeye kupata maana nahisi kama kahack simu ya mumewe.
2. Mara zote nikimuuliza kuhusu ili jambo anakua mkali sana na kufanya kama vile mimi simuamini ilihali anasema ukweli na mambo mengine mengi ambayo yananifanya nimchome kwa ndugu zake.
NB: Kuna mambo ambayo mimi nayajua mengi na nikimwambia dada yake lazima tu apo litokee jambo kubwa sasa nawaza apa nimchome ili kila mtu akose kila kitu maana mimi hilo nilikua nalisamehe ila bado kuna la ex wake kwaio nataka nimchome naombeni ushauri wenu wakuu.
Tafuta pesa Kijana, utaheshimikaNina mchumba wangu ambae sasa tuna miaka mitatu nikiwa nae ila mienendo yake inaanza kunitia wasiwasi sana na kuna vitu nimeshabaini kwake.