mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 95,881
- 136,793
Mhandisi hyo smartphone unayoitumia Wameitengeneza wao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tukae chonjo
Ova
Mhandisi hyo smartphone unayoitumia Wameitengeneza wao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tukae chonjo
Kama walivyofanya walt disney kwa kulikatia hati miliki neno 'Hakuna matata' nami nataka nifanye hivyo kwa neno 'Beberu'. Nimeanza kuona linatumika kila mahali mara kwa mara.
Demokrasia barani Afrika ni ya kuogopa kama ukoma, mwenye hoja ya kupinga aje ulingoni - JamiiForums