Kijana kijana JF-Expert Member Joined Mar 11, 2018 Posts 2,546 Reaction score 2,624 Dec 18, 2018 #101 Badili mkuu uje huku. Hata uislamu unajua kwamba hawa voumbe wameumbwa kwa ajili. Yetu,hivyo mtu ana ruksa ya kumiliki mizigo minne apige nyamaaaa mpaka achokeeee kenmwaikambo said: Mimi napenda kuwa muislam kwaajili ya kuoa wake wanne. Click to expand...
Badili mkuu uje huku. Hata uislamu unajua kwamba hawa voumbe wameumbwa kwa ajili. Yetu,hivyo mtu ana ruksa ya kumiliki mizigo minne apige nyamaaaa mpaka achokeeee kenmwaikambo said: Mimi napenda kuwa muislam kwaajili ya kuoa wake wanne. Click to expand...
adriz JF-Expert Member Joined Sep 2, 2017 Posts 17,325 Reaction score 39,046 Dec 18, 2018 #102 Karibu sana mkuu Allah akufanyie wepesi ufuate misingi sahihi ya dini ya kiislamu
mamaudaku JF-Expert Member Joined Nov 24, 2016 Posts 703 Reaction score 467 Dec 19, 2018 #103 citymist said: Ukristo na roho mtakatifu uislamu na jini. Jiandae. Click to expand... Na yale mapepo yanayotolewa woteni waislam acha kashfa ya dini mimi naamini dini zote ni za haki
citymist said: Ukristo na roho mtakatifu uislamu na jini. Jiandae. Click to expand... Na yale mapepo yanayotolewa woteni waislam acha kashfa ya dini mimi naamini dini zote ni za haki
Man Mvua JF-Expert Member Joined Apr 12, 2016 Posts 2,179 Reaction score 3,525 Dec 19, 2018 #104 mamaudaku said: Na yale mapepo yanayotolewa woteni waislam acha kashfa ya dini mimi naamini dini zote ni za haki Click to expand... Hii dhana ya majini kwenye dini ya uislamu inawapoteza sana... mwisho wa siku utaulizwa Je hukupewa macho ya kuonea??? Hukupewa ulimi wa kuongelea?? Na masikio ya kusikia?? Sasa ni kipi kilichokupoteza?? JIONGOZE USIONGOZWE...
mamaudaku said: Na yale mapepo yanayotolewa woteni waislam acha kashfa ya dini mimi naamini dini zote ni za haki Click to expand... Hii dhana ya majini kwenye dini ya uislamu inawapoteza sana... mwisho wa siku utaulizwa Je hukupewa macho ya kuonea??? Hukupewa ulimi wa kuongelea?? Na masikio ya kusikia?? Sasa ni kipi kilichokupoteza?? JIONGOZE USIONGOZWE...
NZURI PESA JF-Expert Member Joined Mar 25, 2011 Posts 5,958 Reaction score 2,967 Dec 19, 2018 #105 FUSO said: Nakumbuka nikiwa darasa la kwanza nilianza hilo zoezi, nakumbuka herufi ya kwanza tu alif.... tena unaanzia kushoto kwenda kulia..Zingine sikumbuki Kama una mpango wa kufanya kazi uarabuni, better do it. Click to expand... Umedanganya huanzi kushoto kwenda kulia Bali huanza kulia kuelekea kushoto
FUSO said: Nakumbuka nikiwa darasa la kwanza nilianza hilo zoezi, nakumbuka herufi ya kwanza tu alif.... tena unaanzia kushoto kwenda kulia..Zingine sikumbuki Kama una mpango wa kufanya kazi uarabuni, better do it. Click to expand... Umedanganya huanzi kushoto kwenda kulia Bali huanza kulia kuelekea kushoto
itara JF-Expert Member Joined Aug 10, 2013 Posts 2,240 Reaction score 1,576 Dec 19, 2018 #106 njujujr said: Unamaliza mashafu au nn hiyo miezi mitatu shekh au unataka ajue sura bazo zitamsaidia kwenye sara Click to expand... anakuwa na basics vingine vinakuja outmatic, uzuri ni kwamba miundo mbinu ya kufundishia ipo na pakufanyia mazoezi papo accessible ni yeyetu..
njujujr said: Unamaliza mashafu au nn hiyo miezi mitatu shekh au unataka ajue sura bazo zitamsaidia kwenye sara Click to expand... anakuwa na basics vingine vinakuja outmatic, uzuri ni kwamba miundo mbinu ya kufundishia ipo na pakufanyia mazoezi papo accessible ni yeyetu..
itara JF-Expert Member Joined Aug 10, 2013 Posts 2,240 Reaction score 1,576 Dec 19, 2018 #107 mosabiy said: Hii miezi 3 unakuwa umekariri kama wimbo. Click to expand... unapata basics ambayo itakuongoza kujua kila kitu...
mosabiy said: Hii miezi 3 unakuwa umekariri kama wimbo. Click to expand... unapata basics ambayo itakuongoza kujua kila kitu...