lukubuzo Samsis
JF-Expert Member
- Nov 3, 2014
- 2,947
- 3,465
Heshima kwenu wakuu, mimi ni kijana (miaka 26) mkristo ambaye hivi karibuni nimefatilia kiundani sana dini ya uislamu na nimetokea kuikubali sana.
Moja ya sababu zilizofanya niipende dini hii ni kwamba lugha inayotumika ni ile halisia iliyotumika kuandika hii quaran, Napenda sana napokua kwenye dini nisome kwa maandiko orijino, kusiwe na kitu ambacho kimeongezewa wala kupunguziwa, wala kutafsiriwa. Kuna makosa madogo katika tafsiri ya lugha iliyotumika kwenye maandiko ya kihebrania ya biblia mfano biblia zetu zilizotafsiriwa zimeandika mama yake Yesu alikua ni bikra na ndicho wengi huamini ila biblia orijino ya kihebrania imeandika kwamba mama yake yesu alikua ni mwanamke mdogo anaeweza kuzaa, Kwa vile hapa Tanzania ni nadra sana kukuta madarasa ya kibrania Ningejaribu mbali kujua kihebrania ila jitihada zingegonga mwamba kwa sababu nilifatilia kwamba kwamba huko israel dini ya ukristo ni asilimia 2 tu wanaoiabudu tangu ilioruhusiwa mwa juzi (2016) ambapo wengi huabudu judaism na uislamu.
Ukristo ni dini nzuri tu ambayo imenilea mpaka hapa nilipo na kila napopata tatizo mungu amekuwa msaada sana kwangu nikiwa katika dini ya ukristo, Sitasema kwamba dini ya ukristo sio nzuri, LA HASHAAA!!!,
Zipo sababu nyingi mno zinaonifnya nihamie kwenye uislamu kutoka ukristo ambazo nikiziweka wazi patatokea malumbano yasiyo na mwisho.
Kwa sasa familia na ndugu zangu wote ni wakristo na sitapenda kuhama ghafla, nataka nipate mwanga wa elimu ya kiislamu kwa kusoma kiarabu ili nispate shida kusoma quarani.
NAOMBENI MNISHAURI MAMBO MUHIMU KUHUSU ELIMU YA LUGHA YA KIARABU ITAKAYONISAIDIA KUSOMA QURAN, NI VITU VIPI INABIDI NIJIFUNZE ILI NAPOANZA KUSOMA QUARAN NA KUINGIA RASMU KATIKA DINI YA UISLAMU NISIPATE TAABU.
Tafsiri ya Qur'ani ni pana sana ndyo mana akasema hivyo kwa lengo la kuweka sawa.Qur'an ya Kiswahili ina nyongeza ya Shehe Abdallah Saleh Farsy. Maneno yote kwenye mabano hayapo kwenye original Qur'an ya kiarabu.
Hapana mkuu Zipo hata za wakubwa .KARIBU KATIKA UISLAM QUR AN NI "KITABU KISICHO SHAKA NDANI YAKE NA NI MUONGOZO KWA WAMCHAO MWENYEZI MUNGU" NAAMINI WEWE NI MMOJA WA WALIO ONGOZWAmadrasa huko si ni watoto tu
Nakuomba tu usome Biblia maana koran ni summary ya Biblia.Heshima kwenu wakuu, mimi ni kijana (miaka 26) mkristo ambaye hivi karibuni nimefatilia kiundani sana dini ya uislamu na nimetokea kuikubali sana.
Moja ya sababu zilizofanya niipende dini hii ni kwamba lugha inayotumika ni ile halisia iliyotumika kuandika hii quaran, Napenda sana napokua kwenye dini nisome kwa maandiko orijino, kusiwe na kitu ambacho kimeongezewa wala kupunguziwa, wala kutafsiriwa. Kuna makosa madogo katika tafsiri ya lugha iliyotumika kwenye maandiko ya kihebrania ya biblia mfano biblia zetu zilizotafsiriwa zimeandika mama yake Yesu alikua ni bikra na ndicho wengi huamini ila biblia orijino ya kihebrania imeandika kwamba mama yake yesu alikua ni mwanamke mdogo anaeweza kuzaa, Kwa vile hapa Tanzania ni nadra sana kukuta madarasa ya kibrania Ningejaribu mbali kujua kihebrania ila jitihada zingegonga mwamba kwa sababu nilifatilia kwamba kwamba huko israel dini ya ukristo ni asilimia 2 tu wanaoiabudu tangu ilioruhusiwa mwa juzi (2016) ambapo wengi huabudu judaism na uislamu.
Ukristo ni dini nzuri tu ambayo imenilea mpaka hapa nilipo na kila napopata tatizo mungu amekuwa msaada sana kwangu nikiwa katika dini ya ukristo, Sitasema kwamba dini ya ukristo sio nzuri, LA HASHAAA!!!,
Zipo sababu nyingi mno zinaonifnya nihamie kwenye uislamu kutoka ukristo ambazo nikiziweka wazi patatokea malumbano yasiyo na mwisho.
Kwa sasa familia na ndugu zangu wote ni wakristo na sitapenda kuhama ghafla, nataka nipate mwanga wa elimu ya kiislamu kwa kusoma kiarabu ili nispate shida kusoma quarani.
NAOMBENI MNISHAURI MAMBO MUHIMU KUHUSU ELIMU YA LUGHA YA KIARABU ITAKAYONISAIDIA KUSOMA QURAN, NI VITU VIPI INABIDI NIJIFUNZE ILI NAPOANZA KUSOMA QUARAN NA KUINGIA RASMU KATIKA DINI YA UISLAMU NISIPATE TAABU.
Ukristo na roho mtakatifu uislamu na jini. Jiandae.
We unachokitafuta utakipata usituchokoe TafadhaliUkristo na roho mtakatifu uislamu na jini. Jiandae.
We unachokitafuta utakipata usituchokoe Tafadhali
Ndio kuna tatizo?Em ngoja,huo mguu ni wako?
Acha tu dada yangu.Ndio kuna tatizo?
Hahahahaha haya bhanaHuo mguu tatizo unautoa wapi kwa mfano?
Acha tu dada yangu.
umeelezea kwa summary, funguka zaidiNakuomba tu usome Biblia maana koran ni summary ya Biblia.
Hahahahaha haya bhana
Tujikite kwenye mada iliyopoUmenielewa nadhani.
Tujikite kwenye mada iliyopo
Mwelekeze mtoa mada wapi atajifunza QuranYes yes tukijike kweli kweli.
Mwelekeze mtoa mada wapi atajifunza Quran