Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,378
Kuna aya katika quran inasema:Hakika Mungu anamuongoza amtakaye na humpoteza amtakae...!!karibu ndugu yangu soma uislam uelewe itafaa saana kujua kile unacofata !!Heshima kwenu wakuu, mimi ni kijana (miaka 26) mkristo ambaye hivi karibuni nimefatilia kiundani sana dini ya uislamu na nimetokea kuikubali sana.
Ukristo ni dini nzuri tu ambayo imenilea mpaka hapa nilipo na kila napopata tatizo mungu amekuwa msaada sana kwangu nikiwa katika dini ya ukristo, Sitasema kwamba dini ya ukristo sio nzuri, LA HASHAAA!!!,
Zipo sababu nyingi mno zinaonifnya nihamie kwenye uislamu kutoka ukristo ambazo nikiziweka wazi patatokea malumbano yasiyo na mwisho.
Kwa sasa familia na ndugu zangu wote ni wakristo na sitapenda kuhama ghafla, nataka nipate mwanga wa elimu ya kiislamu kwa kusoma kiarabu ili nispate shida kusoma quarani.
NAOMBENI MNISHAURI MAMBO MUHIMU KUHUSU ELIMU YA LUGHA YA KIARABU ITAKAYONISAIDIA KUSOMA QURAN, NI VITU VIPI INABIDI NIJIFUNZE ILI NAPOANZA KUSOMA QUARAN NA KUINGIA RASMU KATIKA DINI YA UISLAMU NISIPATE TAABU.
hamna ca binti wa ki oman wala nini uyo ni Muongozo kutoka kwa Mungu !![emoji3516]Ushapata binti toka oman wewe sio bure. Kila la kheri mkuu
Nenda madrasa au mskiti wowote wa karibu yako utapata private tutor.
Mtandao pia una site nyingi sana za kufundisha Qur'an lakini ni vyema ukapata basics face to face.
Ni wepesi sana kusoma Qur'an na Kiarabu. Hususan kwa anaefahamu Kiswahili.
madrasa huko si ni watoto tuNenda madrasa au mskiti wowote wa karibu yako utapata private tutor.
Mtandao pia una site nyingi sana za kufundisha Qur'an lakini ni vyema ukapata basics face to face.
Ni wepesi sana kusoma Qur'an na Kiarabu. Hususan kwa anaefahamu Kiswahili.
Kwani wewe mkubwamadrasa huko si ni watoto tu
Japo Elimu haina mwisho, kujua na kusoma Qur'an inaweza kuchukua muda gani kwa mtu ambaye ni mweupe kabisa kichwani lakini kila siku anaweza kutenga masaa mawili? Binafsi nahitaji kujifunza nahisi kama naweza kusilimu siku zijazo nafsi yangu inaniambia hivyo...
Usiwe mnafiki andika hapa yaliyokufanya uhame watu wajue.Heshima kwenu wakuu, mimi ni kijana (miaka 26) mkristo ambaye hivi karibuni nimefatilia kiundani sana dini ya uislamu na nimetokea kuikubali sana.
Moja ya sababu zilizofanya niipende dini hii ni kwamba lugha inayotumika ni ile halisia iliyotumika kuandika hii quaran, Napenda sana napokua kwenye dini nisome kwa maandiko orijino, kusiwe na kitu ambacho kimeongezewa wala kupunguziwa, wala kutafsiriwa. Kuna makosa madogo katika tafsiri ya lugha iliyotumika kwenye maandiko ya kihebrania ya biblia mfano biblia zetu zilizotafsiriwa zimeandika mama yake Yesu alikua ni bikra na ndicho wengi huamini ila biblia orijino ya kihebrania imeandika kwamba mama yake yesu alikua ni mwanamke mdogo anaeweza kuzaa, Kwa vile hapa Tanzania ni nadra sana kukuta madarasa ya kibrania Ningejaribu mbali kujua kihebrania ila jitihada zingegonga mwamba kwa sababu nilifatilia kwamba kwamba huko israel dini ya ukristo ni asilimia 2 tu wanaoiabudu tangu ilioruhusiwa mwa juzi (2016) ambapo wengi huabudu judaism na uislamu.
Ukristo ni dini nzuri tu ambayo imenilea mpaka hapa nilipo na kila napopata tatizo mungu amekuwa msaada sana kwangu nikiwa katika dini ya ukristo, Sitasema kwamba dini ya ukristo sio nzuri, LA HASHAAA!!!,
Zipo sababu nyingi mno zinaonifnya nihamie kwenye uislamu kutoka ukristo ambazo nikiziweka wazi patatokea malumbano yasiyo na mwisho.
Kwa sasa familia na ndugu zangu wote ni wakristo na sitapenda kuhama ghafla, nataka nipate mwanga wa elimu ya kiislamu kwa kusoma kiarabu ili nispate shida kusoma quarani.
NAOMBENI MNISHAURI MAMBO MUHIMU KUHUSU ELIMU YA LUGHA YA KIARABU ITAKAYONISAIDIA KUSOMA QURAN, NI VITU VIPI INABIDI NIJIFUNZE ILI NAPOANZA KUSOMA QUARAN NA KUINGIA RASMU KATIKA DINI YA UISLAMU NISIPATE TAABU.
Njoo Tanga kuna chuo cha kiislam...utafundishwa kila kitu.
TAMTA...NI CHUO BORA CHA KIISLAM...hii nduo chuo bora Tanzania nzima na wala hawana ada ya kutisha...50,000/= tu mwaka mzima...ukikaa bweni unalipa 80,000/= ukija njoo tujiunge pamoja...mimi naanza wiki hii...Tanga kinaitwaje hicho chuo cha kiislamu.??
Mkuu hongera sana kwa hatua yako.Heshima kwenu wakuu, mimi ni kijana (miaka 26) mkristo ambaye hivi karibuni nimefatilia kiundani sana dini ya uislamu na nimetokea kuikubali sana.
Moja ya sababu zilizofanya niipende dini hii ni kwamba lugha inayotumika ni ile halisia iliyotumika kuandika hii quaran, Napenda sana napokua kwenye dini nisome kwa maandiko orijino, kusiwe na kitu ambacho kimeongezewa wala kupunguziwa, wala kutafsiriwa. Kuna makosa madogo katika tafsiri ya lugha iliyotumika kwenye maandiko ya kihebrania ya biblia mfano biblia zetu zilizotafsiriwa zimeandika mama yake Yesu alikua ni bikra na ndicho wengi huamini ila biblia orijino ya kihebrania imeandika kwamba mama yake yesu alikua ni mwanamke mdogo anaeweza kuzaa, Kwa vile hapa Tanzania ni nadra sana kukuta madarasa ya kibrania Ningejaribu mbali kujua kihebrania ila jitihada zingegonga mwamba kwa sababu nilifatilia kwamba kwamba huko israel dini ya ukristo ni asilimia 2 tu wanaoiabudu tangu ilioruhusiwa mwa juzi (2016) ambapo wengi huabudu judaism na uislamu.
Ukristo ni dini nzuri tu ambayo imenilea mpaka hapa nilipo na kila napopata tatizo mungu amekuwa msaada sana kwangu nikiwa katika dini ya ukristo, Sitasema kwamba dini ya ukristo sio nzuri, LA HASHAAA!!!,
Zipo sababu nyingi mno zinaonifnya nihamie kwenye uislamu kutoka ukristo ambazo nikiziweka wazi patatokea malumbano yasiyo na mwisho.
Kwa sasa familia na ndugu zangu wote ni wakristo na sitapenda kuhama ghafla, nataka nipate mwanga wa elimu ya kiislamu kwa kusoma kiarabu ili nispate shida kusoma quarani.
NAOMBENI MNISHAURI MAMBO MUHIMU KUHUSU ELIMU YA LUGHA YA KIARABU ITAKAYONISAIDIA KUSOMA QURAN, NI VITU VIPI INABIDI NIJIFUNZE ILI NAPOANZA KUSOMA QUARAN NA KUINGIA RASMU KATIKA DINI YA UISLAMU NISIPATE TAABU.
Makazi yangu mara nyingi nipo Moshi, Mbeya mjini na Iringa mkuu...nipe ushauriMkuu hongera sana kwa hatua yako.
Ila tu nikupe moyo kwamba Qur'ani ni nyepesi sana haaaaaaswa ukishakijua kiarabu chake.
Wengi wanaoisema vibaya wanaitafsiri kwa mujibu wa lugha zao za tafsiri pasi na kurejea katika maana yake ya asili ya kiarabu yenyewe.
Hivyo ni jambo jema sana mkuu.lakini pia lazima utafute mtu sahihi wa kukufundisha vinginevyo utaingia chaka,na hilo hutolipata illaa kwa kusema ulipo kisha tukakuelekeza uende wapi ambako pana usalama.
Kama ilivyo katika mambo ya dunia kuna waalimu feki hawana ujuzi wowote,kuna madaktari feki wakuunga ungaa,kuna watu hawana pesa ila wanaigiza wana pesa,basi jua pia katika dini wapo waigizaji ambao hawana kituuu kichwani lakini wajanja wajanjaa..
Ni jambo rahisi sana,ukisema ulipo kisha tutakupa msaada wa wapi uende ukasome mkuu.
Makazi yangu mara nyingi nipo Moshi, Mbeya mjini na Iringa mkuu...nipe ushauri
Jaribu tu kuheshimu wakati na mazingira.Ukristo na roho mtakatifu uislamu na jini. Jiandae.