Nataka nijaribu kunywa pombe ila naogopa matokeo

jamani muda mrefu nina hamu ya kujaribu kunywa pombe ila naogopa reaction yake isije nitia aibu nikaja fanya mambo ya ovyo. naonaga tu watu wanywa wachanganya na maji, sitaki shirikisha watu wangu wa karibu wengi wao waabudia dini hawawezi nipa ushauri niutakao zaidi watanishushia mistari ya kwenye vitabu. mimi nataka ninywe kidogo tu isinidhuru mpaka nikaja shindwa jitambua yaani nataka nitoe ka aibu nilichokua nacho nisiwe na aibu kabisa. haya mnisaidie ninywe kiasi gani ili isinidhuru na kunitia aibu au kuropoka ovyo?
una miaka -18 au +18?? tuanze hapo kwanza
 
Kuna jamaa yangu alitest duuh alirudi viatu hana mguuni, alikuwa akicheka hovyo hovyo tu yaani siku hiyo alifanya mengi ya ajabu so take care ulevi noma.
 
Kama mdada anza na SAVANAH piga chupa mbili then isikilizie ila tam tam nzuri kwa kujifunzia
 
Jamani muda mrefu nina hamu ya kujaribu kunywa pombe ila naogopa reaction yake isije nitia aibu nikaja fanya mambo ya ovyo.

Naonaga tu watu wanywa wachanganya na maji, sitaki shirikisha watu wangu wa karibu wengi wao waabudio dini hawawezi nipa ushauri niutakao zaidi watanishushia mistari ya kwenye vitabu.

Mimi nataka ninywe kidogo tu isinidhuru mpaka nikaja shindwa jitambua yaani nataka nitoe ka aibu nilichokua nacho nisiwe na aibu kabisa. Haya mnisaidie ninywe kiasi gani ili isinidhuru na kunitia aibu au kuropoka ovyo?
Huko kwenu wanaiita chang'aa. Anza na hiyo taratibu
 
Umechelewa sana had sasa hujawahi da! Kwa vile wewe ni ke anza na sengereti lite tano tu. Aisee pombe raha sana hutajuta, hutakuwa mbea-mbea maana utakuwa bize. We weita huoni Kama Castle Lager yangu kubwa imeisha? Lete ya vuguvugu
 
achana na pombe all you need is something to steam your mind try this
99d67cabe19eb9f8e48d67f176c7b76e.jpg
trust me hutojuta
79cb00fefa1a09fdbb2dd7868f70a248.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ni kweli Uhuru anakula kaya au macho yake tu?
 
Hivi ni kweli Uhuru anakula kaya au macho yake tu?
jibu unalo mwenyewe mkuu,kusimama mbele yaumati wa watu na macamera,dunia nzima inakusikiliza si mchezo.ata wanamuziki wanapovaa miwani kuziba macho sio bure,unakuta tayari wameshakichoma
ceca342d47a22136051534526d75e90e.jpg
f31725d4d9242028ddbeb8b745716abb.jpg
c32ca29dedb4a6284dcb65f1eb1cb1de.jpg
c1d4e786a938b9a2cd4bc405ee0dc6d0.jpg
52c6e7a82b9e9abd2909bd2ceee82284.jpg
9da7d0ea8cd5f8870bce9621876f30fa.jpg
ata billgates juzijuzi alipiga kura ya ndio kusurpport weed iwe ligalize marekani
86dd152d6850cc4a12b0e728c1b5e6df.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
jibu unalo mwenyewe mkuu,kusimama mbele yaumati wa watu na macamera,dunia nzima inakusikiliza si mchezo.ata wanamuziki wanapovaa miwani kuziba macho sio bure,unakuta tayari wameshakichoma
ceca342d47a22136051534526d75e90e.jpg
f31725d4d9242028ddbeb8b745716abb.jpg
c32ca29dedb4a6284dcb65f1eb1cb1de.jpg
c1d4e786a938b9a2cd4bc405ee0dc6d0.jpg
52c6e7a82b9e9abd2909bd2ceee82284.jpg
9da7d0ea8cd5f8870bce9621876f30fa.jpg
ata billgates juzijuzi alipiga kura ya ndio kusurpport weed iwe ligalize marekani
86dd152d6850cc4a12b0e728c1b5e6df.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sina swali ushahidi wa picha umemaliza kila kitu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom