19 records studio
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 421
- 1,085
Ukilewa halafu hujitambui wahuni watakupitia nyuma huko.
Wewe bado hujakata shauri once ukiamua hiyo kusita sita itahama mara moja by the way unywaji pombe una faida nyingi sana chanya...hasa kwa wenye viwanda na wafanya biashara!Jamani muda mrefu nina hamu ya kujaribu kunywa pombe ila naogopa reaction yake isije nitia aibu nikaja fanya mambo ya ovyo.
Naonaga tu watu wanywa wachanganya na maji, sitaki shirikisha watu wangu wa karibu wengi wao waabudio dini hawawezi nipa ushauri niutakao zaidi watanishushia mistari ya kwenye vitabu.
Mimi nataka ninywe kidogo tu isinidhuru mpaka nikaja shindwa jitambua yaani nataka nitoe ka aibu nilichokua nacho nisiwe na aibu kabisa. Haya mnisaidie ninywe kiasi gani ili isinidhuru na kunitia aibu au kuropoka ovyo?