nataka nihame tarime nnakofundishia mi ni mwalimu wa msingi

nataka nihame tarime nnakofundishia mi ni mwalimu wa msingi

Escoba

Member
Joined
Jan 10, 2013
Posts
75
Reaction score
18
habari zenu naomba msaada wenu anaeweza kuniwezesha ili nihame tarime nnakofundishia ili nije sehemu ya either morogoro, tanga, dsm, kibaha, bagamoyo, arusha, kilimanjaro. unaweza ukanipa mtu wa kubadilishana nae au kufanya njia yyt . dau ni tsh. 300,000
 
muraa tarime ngumu?pole sana
ila sijaelewa ilo dau ni halali au la "kuongea"
 
habari zenu naomba msaada wenu anaeweza kuniwezesha ili nihame tarime nnakofundishia ili nije sehemu ya either morogoro, tanga, dsm, kibaha, bagamoyo, arusha, kilimanjaro. Unaweza ukanipa mtu wa kubadilishana nae au kufanya njia yyt . Dau ni tsh. 300,000

duh umechagua mikoa mizuri kamanda,bora ungefanya hata geita au sumbawanga lol
 
hilo dau la ukweli wabongo bila kupewa hela hawasaidiii roho yao ka wanakunywa maji cha chooni vle roho mbaya
 
habari zenu naomba msaada wenu anaeweza kuniwezesha ili nihame tarime nnakofundishia ili nije sehemu ya either morogoro, tanga, dsm, kibaha, bagamoyo, arusha, kilimanjaro. unaweza ukanipa mtu wa kubadilishana nae au kufanya njia yyt . dau ni tsh. 300,000

umeolewa? Kama bado Mimi nipo dar sijaoa kama vipi nikuoe halafu unanifuata mumeo,kwa sheria za kazi utakuwa hamna kipingamizi tena. Hiyo laki tatu itakuwa mahari yako
 
bado cjaoa pouwa hamna toa no. ako naweza kua mmeo ili nipate nafasi ya kuja dar
 
Unachagua mahala popote unapotaka na batch 4 mwisho tar 25 mwez huu kama una 400'000/= ncheki kwa email yangu then nkuunganishe na jamaa wa Tamisemi Dom mie nmechukua barua yangu tar 7.1. Nmehamia Moro manispaa na nsharipoti hakuna longolongo. haludzedzele@gmail.com tutamaliza contact zote uko
 
Hii ndiyo Tanzania yenye neema!! tutafika kweli kwa mtindo huu?
 
habari zenu naomba msaada wenu anaeweza kuniwezesha ili nihame tarime nnakofundishia ili nije sehemu ya either morogoro, tanga, dsm, kibaha, bagamoyo, arusha, kilimanjaro. unaweza ukanipa mtu wa kubadilishana nae au kufanya njia yyt . dau ni tsh. 300,000

Njia yoyote ipi? rushwa ni adui wa haki mwalimu!!
 
naomba nibipu au nitumie sms kwa namba hii hapa nina shida ya uhamisho 0759016064
 
Walimu amna tena hali ngumu mnatoa hadi mlungula wa laki 3
 
da, raia tunatakiwa kumsaidia huyo dada si lazima mpanga umuoe ndo umsaidie hayo si maadili ktk DUNIA pindi unapofanya hivyo unategemea na mtoto wako wa kike naye atakuja kuishi mazingira gani?
 
da, raia tunatakiwa kumsaidia huyo dada si lazima mpaka umuoe ndo umsaidie hayo si maadili ktk DUNIA pindi unapofanya hivyo unategemea na mtoto wako wa kike naye atakuja kuishi mazingira gani?
 
Najua wewe kamanda ni Chadema hawawezi kabisa kukupa furusa ya kuhama au kubadilisha mazingira kama unavyohitaji sasa chakufanya hawa CCM hawana akili hata kidogo wewe vua GWANDA LA CHADEMA UVAE GAMBA KWA MUDA MFUPI UEKTI KAMA UNAMSEMA DR SLAA VIBAYA utahama haraka sana hawa dawa yao ni hiyo tu vinginevyo yatakusumbua sana
 
umeolewa? Kama bado Mimi nipo dar sijaoa kama vipi nikuoe halafu unanifuata mumeo,kwa sheria za kazi utakuwa hamna kipingamizi tena. Hiyo laki tatu itakuwa mahari yako

Amekwambia yeye ni mwanamke..............................!:A S 39:
 
Back
Top Bottom