Ngoja wakuu waje watakupa mambo mengi kuusiana na game center ila nataka nikuulize swali mkoa gani unataka kufungua au wilaya ganiHabari zenu, Nataka niongeze kipato nje ya mshahara wa ajira, nimeona nichote milioni 7 kwenye akiba nifungue biashara ya ps,
gharama nilizopangilia, naombeni mnisahishe, kunishauri na mnipe mawazo mengine
PS4 nne zenye games 2,500,000
tv nne 1,500,000
pad mtumba za ziada - 300,000
spea za kurekebishia padi - 200,000
viti 200,000
Chumba miez minne 800,000
ukarabati, kuchora, stabilizer, taa, n.k 500,000
Tin namba ya eneo la biashara - bure)
Tax clearance ya Tra kodi utayoambiwa ulipie kila baada ya miezi minne - 80,000
.
leseni ya biashara - elf 80 kwa mwaka
.
kibali cha afisa utamadhni na sanaa / gaming board - elf 20 kwa mwaka
Jumla ni 6.180,000/=
ni mambo yapi mengine nizingatie ?
duh..Habari zenu, Nataka niongeze kipato nje ya mshahara wa ajira, nimeona nichote milioni 7 kwenye akiba nifungue biashara ya ps,
gharama nilizopangilia, naombeni mnisahishe, kunishauri na mnipe mawazo mengine
PS4 nne zenye games 2,500,000
tv nne 1,500,000
pad mtumba za ziada - 300,000
spea za kurekebishia padi - 200,000
viti 200,000
Chumba miez minne 800,000
ukarabati, kuchora, stabilizer, taa, n.k 500,000
Tin namba ya eneo la biashara - bure)
Tax clearance ya Tra kodi utayoambiwa ulipie kila baada ya miezi minne - 80,000
.
leseni ya biashara - elf 80 kwa mwaka
.
kibali cha afisa utamadhni na sanaa / gaming board - elf 20 kwa mwaka
Jumla ni 6.180,000/=
ni mambo yapi mengine nizingatie ?
Habari zenu, Nataka niongeze kipato nje ya mshahara wa ajira, nimeona nichote milioni 7 kwenye akiba nifungue biashara ya ps,
gharama nilizopangilia, naombeni mnisahishe, kunishauri na mnipe mawazo mengine
PS4 nne zenye games 2,500,000
tv nne 1,500,000
pad mtumba za ziada - 300,000
spea za kurekebishia padi - 200,000
viti 200,000
Chumba miez minne 800,000
ukarabati, kuchora, stabilizer, taa, n.k 500,000
Tin namba ya eneo la biashara - bure)
Tax clearance ya Tra kodi utayoambiwa ulipie kila baada ya miezi minne - 80,000
.
leseni ya biashara - elf 80 kwa mwaka
.
kibali cha afisa utamadhni na sanaa / gaming board - elf 20 kwa mwaka
Jumla ni 6.180,000/=
ni mambo yapi mengine nizingatie ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nunua boda boda tatu uwape vijana waendeshe.
Bodaboda moja kwa siku elfu 10 kwa mwezi laki tatu ,ukiwa na boda boda tatu kwa mwezi unaingiza laki 9 ,kwa miezi miwili unaingiza 1.8M ,hivyo una uwezo wa kuongeza boda boda moja kila baada ya miezi miwili.
Huoni utapiga pesa hapo?
ππππππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]