CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 12,111
- 27,431
Naomba unitagi ukiweka huo ukweliLeo nawiwa kufumua ukweli wote kuhusu chapa ya 666 ili watu waache kudanganyana.
Nalipika somo nakuja.
Ila kwa kifupi tu, hii 666 chimbuko ni Israeli kwa mfalme Suleiman.
Why 666 and not other digits? Nakuja!
NB: ukweli huu ulijulikana na wachache mno mimi nikiwa mmoja wao
Hapana. Siyo memba wao mkuu. Hilo kanisa ni lipi kwani? Nipo gizanimimiamadiwenani Wewe ni mmoja wa member wa Dr Ceasar Masis + Pastor Chumvi + Oscar Obeid.
Kwanini kanisa lenu limefungiwa?
Haikukosea. Bonge la fumbo hilo. Ni Mristo wewe? Unaishi DSM?Sasa mbna tunauza na kununua bila hayo maneno ya kasisi wa Mwana wa Mungu....... au biblia ilikosea???
Mafumbo huwa watu wanatishiana kuwa wasiijue kweli.Hii namba na fumbo linalotakiwa kufumbuliwa na anayejua kutafsiri maandiko ya biblia kwa kina. Kama huna kipawa cha kutafri lugha za mafumbo ya biblia utaishia kwenye blablaa na kushindwa kueleza ukweli.
Acha kuropoka kama unajiheshimu na uache umbea.!
Endelea kuropoka uone.
Usijali mkuu. Your wish has been grantedHaya mambo nimejifunza sana kupitia Pastors baadhi kama Mbwana, Mmbaga n.k ila bado nahitaji elimu zaidi kwasababu moja tu ambayo nahitaji hao nilio wataja naimani unawajua dhehebu lao, Tatizo ya hilo dhehebu hujiona wao ndiyo wapo sahihi kabisa kuliko wengine.
Nilijifunza sana ishu baadhi za hao wayahudi namna ambayo sabato yao ilipatikana kwendana na kuandama kwa mwezi ni tofauti kabisa na hii ya kalenda ya Gregory.
Lakini pia jambo la unabii wa Daniel ambalo kina W. Miller walichemka lilinipa ukakasi sana, bila kusahau jambo moja ukitazama katoliki ndiye aliyekusanya hivyo vitabu na kuamua vipi vitumike vipi visitumike na ilipita Karne kwa Karne hadi mwaka 1863 likaja dhehebu ambalo wao huona katoliki ndiye mnyama, Je kama hayo waliyosoma humo yapo yaliyo badilishwa?
Nielewe sijabisha au kukupinga nimejaribu kuwa wazi ili kujifunza kwa hizo hoja kwasababu ni jambo ambalo linafikirisha mno.
Naomba ufafanuzi.
Pia weweamadi mimi nahitaji sana maana ya hiyo 666 tena kwa uthibisho.
NarudiWAISLAMU WAFIA DINI ILIYOANZISHWA NA RIMA NJOONI HAPA MJIBU.
QURAN 4:79 - Jema lilio kufikia limetokana na Mwenyezi Mungu. Na ovu lilio kusibu linatokana na nafsi yako. Nasi tumekutuma kwa watu uwe ni Mtume. Na Mwenyezi Mungu ni shahidi wa kutosha.
1. JE NI AKINA NANI WALIMTUMA MTUME"NASI" KWA WATU......
MKAZO NENO NASI LIKIMAANISHA NI ZAIDI YA MTU MMOJA.
2. JE MUNGU ANAKUWAJE MTU WA TATU KAMA SHAHIDI, KWA NINI MUNGU HAKUMTUMA MOHAMED HADI HAO NASI???
3. MKITAKA HII MADA MNITAFUTE KWA WAKATI WENU MUANZISHE UZI
TENA UFUNUO 9 ILITABIRI KUJA KWA DINI YENU IMEELEZEA KILA KITU SHIMO LA KUZIMU.
Ishu ya roman ku create Islam niliwahi isoma humu humu Enzi zile jamii forum ya kina Eiyer, C.T.U, juve2012, sinajinasasa, n.k ilikuwa nondo za maana hili walilichambua sana kwa hoja zilizo sheheni fikirishi za kutupa.Yani kama UNASALI Roman katoliki ujue Unamuabudu mnyama , shetani.
Tena ujue hamna Tofauti yoyote na WAISLAMU YANI Roman Catholic ndio walioanzidha DINI ya UISLAMU Rejea UFUNUO 9 DINI ya UISLAMU ilivyo anzishwa.
Ushetani wa Roman Catholic unapatikana UFUNUO 23 na UFUNUO 17
Ole WENU.
HAPA MZEE WA SIKU NI PAPA.
DANIEL ANATABIRI KUJA KWA KIONGOZI WA SHETANI PAPA MZEE WA SIKU.
DANIEL 7:9.. 13..., 22
Nikatazama hata viti vya enzi vikawekwa, na mmoja aliye mzee wa siku ameketi; mavazi yake yalikuwa meupe kama theluji, na nywele za kichwa chake kama sufu safi; kiti chake cha enzi kilikuwa miali ya moto, na gurudumu zake moto uwakao.
Danieli 7:9
Nikaona katika njozi za usiku, na tazama, mmoja aliye mfano wa mwanadamu akaja pamoja na mawingu ya mbingu akamkaribia huyo mzee wa siku, wakamleta karibu naye.
Danieli 7:13
hata akaja huyo mzee wa siku, nao watakatifu wake Aliye juu wakapewa hukumu; na majira yakawadia watakatifu waumiliki ufalme.
Danieli 7:22
Yeah nipo DSM mkuu na ni mkristo....Haikukosea. Bonge la fumbo hilo. Ni Mristo wewe? Unaishi DSM?
Safi sana umeonesha nia ya kuwa huru.Haya mambo nimejifunza sana kupitia Pastors baadhi kama Mbwana, Mmbaga n.k ila bado nahitaji elimu zaidi kwasababu moja tu ambayo nahitaji hao nilio wataja naimani unawajua dhehebu lao, Tatizo ya hilo dhehebu hujiona wao ndiyo wapo sahihi kabisa kuliko wengine.
Nilijifunza sana ishu baadhi za hao wayahudi namna ambayo sabato yao ilipatikana kwendana na kuandama kwa mwezi ni tofauti kabisa na hii ya kalenda ya Gregory.
Lakini pia jambo la unabii wa Daniel ambalo kina W. Miller walichemka lilinipa ukakasi sana, bila kusahau jambo moja ukitazama katoliki ndiye aliyekusanya hivyo vitabu na kuamua vipi vitumike vipi visitumike na ilipita Karne kwa Karne hadi mwaka 1863 likaja dhehebu ambalo wao huona katoliki ndiye mnyama, Je kama hayo waliyosoma humo yapo yaliyo badilishwa?
Nielewe sijabisha au kukupinga nimejaribu kuwa wazi ili kujifunza kwa hizo hoja kwasababu ni jambo ambalo linafikirisha mno.
Naomba ufafanuzi.
Pia weweamadi mimi nahitaji sana maana ya hiyo 666 tena kwa uthibisho.
Upo sawa ukristo ulikuja baadaye kabisa baada ya Yesu kuwa alikwisha ondoka hapo sikupingi.We jamaa tambua ukristo umeanzisha na paulo yesu hakuwai kuishi ukristo na mila za kikristo ...
Rejea Qur an mpaka vita mtume kapigana akiwa ndani ya dini...
Usifananishe uislamu na kikundi kinachomfuata paulo
Mie nawacheki mlivyotekwa akili na wenye ngozi za nguruwe wanafanya nyie mnauana mlio kitu kimoja. Mmekuja kugawanywa kisa na dini ili mtawaliwe vizuriBABAAKO NDIO ANALOPOKA.
666 ni fasihi iliyotumiwa na Yohana akimaanisha mfalme wa kirumi wakati huo.Papa hajawahi kuwa nembo ya kuuza na kununua.Some Tena hiyo mistari uielewe.Wakati Yohana anaandika kitabu chake Wala hakukuwapo mfumo rasmi wa uongozi wa kanisa Katoliki ambao unamtu anaitwa papa bali kanisa lilibaki kumtambua Petro kama kiongozi.. Mnyama ana jina lenye namba 666.
Ufunuo 13:17 “tena kwamba mtu awaye yote asiweze kununua wala kuuza, ispokuwa ana chapa ile, yaani, jina la mnyama yule, au hesabu ya jina lake.”
Ufunuo 13:18 “Hapa ndipo penye hekima. Yeye aliye na akili, na aihesabu hesabu ya mnyama huyo; maana ni hesabu ya kibinaadamu. Na hesabu yake ni mia sita, sitini na sita.”
Biblia inatuambia kuwa hesabu au namba ya jina la mnyama ni 666
Kanisa la Romani Katoliki hudai kuwa Papa ni kichwa cha kanisa au mwakilishi wa Yesu.
“Maneno yaliyoandikwa katika kofia (miter) ya Papa ni haya, ‘VICURIUS FILII DEI’. ambayo ni ya kilatini kwa ajili ya ‘KASISI WA MWANA WA MUNGU’. Wakatoliki huchukulia kwamba kanisa, ambalo ni jumuiya ya kuonekana, lazima liwe na kichwa cha kuonekana. Kristo, kabla ya kupaa kwake kwenda mbinguni, alimteua M.t. Petro kuwa kama mwakilishi wake…hata hivyo Askofu wa Roma, kama kichwa cha kanisa, alipewa jina ‘KASISI WA YESU.'” –Our Sunday Visitor, (Catholic Weekly) “Bureau of information,” Huntington, Ind., April 18, 1915.
Kwa hiyo “VICARIUS FILII DEI” ndilo jina linalotumiwa na mamlaka ya Upapa na kumthibitisha Papa kama kichwa cha kanisa.
Helufi za kilatini zinaweza kutumika pia kama namba, na siku hizi hujulikana kama “Namba za Kirumi,” na helufi U inaweza pia kutumika kama V.
VICARIVS FILII DEI”
(Kasisi wa Mwana wa Mungu)
V...............................5
I.................................1
C.......................... 100
A..............................0
R,.............................0
I................................1
V.............................5
S.............................0
F..............................0
I................................1
L.............................50
I...............................1
I................................1
D..........................500
E..............................0
I.................................1
Jumla =666
Vicarius inamaanisha, katika nafasi ya
Filii Mwana
Dei Mungu
Hivyo, kanisa la Romani Katoliki linatimiza unabi huu wa hesabu ya mnyama 666 kwa ukamilifu kabisa.
11. Onyo la Mungu kwa wote walio katika kanisa katoliki.
Mungu anaoya vikali sana juu ya wale wote ambao wanashirikiana na mnyama huyu, kama wewe ni mmojawapo unapaswa kuchukua uamuzi sahihi sasa bila kupoteza muda; kwa maana hukumu itakuja juu ya mnyama na yule kahaba (kanisa Katoliki) aliyekaa juu mnyama. Hili ni onyo la mwisho la upendo na la rehema kutoka kwa Mungu.
Ufunuo 14:9-10. “Na mwingine, malaika watatu, akafuata, akisema kwa sauti kuu, Mtu awaye yote akimsujudu huyo mnyama na sanamu yake, na kuipokea chapa katika kipaji cha uso wake, au katika mkono wake, yeye naye atakunywa katika mvinyo ya gadhabu ya Mungu iliyotengenezwa, pasipo kuchanganywa na maji, katika kikombe cha hasira yake; naye atateswa kwa moto na kiberiti mbele ya malaika watakatifu, na mbele za Mwana-Kondoo.”
Ufunuo 19:20 “Yule mnyama akakamatwa, na yule nabii wa uongo pamoja naye, yeye aliyezifanya hizo ishara mbele yake, ambazo kwa hizo aliwadanganya watu wale walioipokea ile chapa ya huyo mnyama, nao walioisujudia sanamu yake; hao wawili wakatupwa wangali hai katika lile ziwa la moto liwakalo kwa kiberiti;”
Ufunuo 18:4 “Kisha nikasikia sauti nyingine kutoka mbinguni, ikisema, Tokeni kwake, enyi watu wangu, msishiriki dhambi zake, wala msipokee mapigo yake. Kwa maana dhambi zake zimefika hata mbinguni, na Mungu amemkumbuka maovu yake…Kwa sababu hiyo mapigo yake yatakuja katika siku moja, mauti, na huzuni, na njaa, naye atateketezwa kabisa kwa moto. Kwa maana Bwana Mungu aliyemuhukumu ni mwenye nguvu
KARIBU KWA MJADALA.
Na mimi nimeshangaa sana ndiyo maana nimemuuliza hapo. Okay nasubiri na wewe pia unipe maana ya 666.Hahahah yaani amechanganya changanya sana mambo [emoji23][emoji23][emoji23] alichofanya ni kuvuruga vuruga tu. Huyo mzee wa siku anayedai ni papa ukimsoma vizuri utagundua ndiye Mungu mwenyewe.
Amina. Tunasubiri ufunue huo ukweli sasaHapana. Siyo memba wao mkuu. Hilo kanisa ni lipi kwani? Nipo gizani
one of the most widely recognized symbols for the Antichrist or, alternatively, the devilMkuu hivi unatuonaje? Asee, hivi unatuonaje? Naomba jibu tafadhali.
Hamadi waoUtupe na maandiko & valid source
Tapeli😂Leo nawiwa kufumua ukweli wote kuhusu chapa ya 666 ili watu waache kudanganyana.
Nalipika somo nakuja.
Ila kwa kifupi tu, hii 666 chimbuko ni Israeli kwa mfalme Suleiman.
Why 666 and not other digits? Nakuja!
NB: ukweli huu ulijulikana na wachache mno mimi nikiwa mmoja wao