- Thread starter
- #101
Ni kwamba familia naisapoti kwa asilimia 80% na ndugu zake niko nao vizur, hata sasa naish na wifi yangu. Na pia kwa vile napambana mtoto kumlea sitashindwa, kwa hiyo kiufupi mimi ndo nalisha familia mara nyingiDada huyo mtoto unaweza kumlea peke yako? Je, ukiachia tendo la ndoa, mambo mengine vipi? Anakupa mahitaji, anakujali, je vipi mtoto wake umeridhishwa na anavyo mtunza? Ndugu zako vipi ana mahusiano nao vipi? Na wewe ndugu zake kama vile mama yake dada zake na wadogo zake mnamahusiano yakoje?
Ningejua hayo ningeweza kukupa wazo ila UAMUZI NI WAKO