Cannabis sativa, marijuana, ganja planter, baghi, mjani, cha Tarime, sirari, arusha.
Kuna namna bora ya kutumia hii kitu unaweza kuvuta, kuchoma, kupika kama mboga, kunywa kama chai na nyingine nyingi.
Kabla hujaanza kuvuta unatakiwa kujua namna ya kuchambua, kutambua zao bora la bangi na namna bora ya kutumia mmea huo.
Tumia kwa ratiba usivute kama chakula, bangi haishibishi inaleta njaa.
Kama unavuta bila mpangilio, punguza na weka ratiba, jua kiwango chako cha juu kati na kawaida. Jua udhaifu wako baada ya kutumia mmea, tambua eneo mmea wako unaensana na wewe, site and species match.
Bangi ina mambo mengi mengine hata watumiaji hawayajui, ndio inafaida nyingi sana, katika mwili wa binadamu.