Nataka nianze kula mjani

Dah! basi inaelekea mjani wa huko dar wanachanganya na vitu vingine [emoji23]
 
Mjini wanamix na Ngano.

Details zingine hapa hazikai.
 
Kwahiyo Mkuu unahisi na wewe ungevuta ungekuwa kama hao uliotelea mfano?
Yaani huwa napata conclusion hiyo Mkuu.

Huenda Mwamba alinisoma RAM ya Kichwa angu akajua kabisa Mjani nisingeumudu, maana alivyokuwa ananikazia nisithubutu kuvuta utadhani ni mdogo ake aisee...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Miaka 20 nometumia jani, kisha nikapunguza kipimo, naandika hapa nikiwa na mwaka na miezi 4 sijawasha Pantera,

Ganja haitaki mapepe, ukiiletea mapepe inakupiga zile TKO mpaka mamako atajua!

Marijuana ni dawa, tena ni jani lililobarikiwa, mnafki hawezi kukusogelea
 
Nataka siku ya kuanza nijifungie geto nivuteeeee wee Lakin nahakikisha milango nimelock
 
Ukweli mim siwez kulala bila pia pia bila iyo kitu siwez piga show za joto
 
Usithubutu kugongeana na vijana vuta peke yako uinjoy.. ukipokezana na vijana wata wao uwa wanachanganya na valium uwezo.. usijaribu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…