Kama hauna namna kabisa unataka kufanyia nyumbani, kuruka kamba itakusaidia..ukiweza kuskip kuanzia 1,000 na kuendelea kwa siku utakuwa pazuri. Ongezea na 'fast walk at home' videos utazipata YouTube zipo nyingi tu za 30minutes hadi 1hour.
Usisahau kuwa na kiasi kwenye kula. All the best