Miss_Mariaah
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 1,119
- 2,528
Mazoezi ya kergel,angalia YouTubeWakuu am on my late 20's nimefanya tathmini nikaona Ni vyema niwe Na utaratibu wa kufanya mazoezi now nsisubiri uzeeni au nkikaribia kuzeeka ndo nianze mazoezi......Nataka mazoezi niwe nafanyia home tu Sio gym...naombeni muongozo Nini vya kuzingatia Na nifanye mazoezi ya aina gani
Shukrani MkuuTafta dancers youtube uwe unaiga kucheza.. angalau utakua unapiga zoezi huku unaenjoy plus kuongeza CV
Lengo hasa kucontrol uzito na afya ya mwiliCha kwanza mazoezi ni kama bia bila mziki utakuwa bored.. kuwa na mziki na nyimbo kazaa za kukumotivate. Kama singeli au amapiano...
Kwenye aina za mazoezi inategemeana na wewe lengo lako ni lipi haswa.. ila mazoezi kama Squat, mount climbing na mengine ni common hayakosekani...
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Dah Kegels Tena mkuuMazoezi ya kergel,angalia YouTube
Wakikejinsia yako tukushauri?isije ikawa wakike nikakushauri ukachana kinembe bure😕😕
Wazo zuri KabisaLengo hasa kucontrol uzito na afya ya mwili
ok nitakuja pm nikuelekeze mazoezi mazuri mremboWakike
Niwaachie wajuzi wa mambo me nipo kwenye Jogging sanaLengo hasa kucontrol uzito na afya ya mwili
Ndugu wewe vip??Wazo zuri Kabisa
Nilishaanza muda kidogo mkuuNdugu wewe vip??
Nimesha kuchek PM 😋😋Wakike
Hii jogging unaifanyajeNiwaachie wajuzi wa mambo me nipo kwenye Jogging sana