The Initiator huru
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 2,327
- 3,203
wavuta bangi bhana mkisha vuta mkachanganyikiwa mnakuja kututesa humuMwezi huu wa tisa naanza chuo rasmi mwaka wa kwanza, naenda kusoma radiology. Sasa naanza ku behave kisomi you know na acha mambo ya kijinga nakuwa msomi. Nitakuwa nawaandikia mawili matatu kule JF doctor. Kwasabau nataka ni behave kisomi Nitakuwa siingii sana huku mmu nitakuwa nasaidia watu wenye matatizo kule kwa forum yetu doctors 😂 nabadilisha forum kwaherini mmu. Nawapenda sana 💖
Doctor mtarajiwa DR MY NAME IS MY NAME