Hivi karibuni nimegundua anasumbuliwa na matatizo ya kiswahili naona kuingi huko noWhy unahis hawez kuwa mkeo
Hivi karibuni nimegundua anasumbuliwa na matatizo ya kiswahili naona kujiingiza huko ni kama kujiingiza kwenye matatizo na mimimimi nakushauri usimuache ili usimuumize.
unless unambie y unataka kumuacha niangalie kama ni point kubwa basi.
Wabongo wanatafuta kumkosoa mtu badala ya kumshauri. some people got to change.Wafrika tumeumbwa roho ya kipekee kbsa tofauti na wenzetu.
Wenzetu hata km ukipresent issue yako kwa broken english atakuelewa na kukushauri lkn ss baada ya kumshauri. Unaanza kuchambua uandishi wake. Unakuwa bado haujamsaidia.
Ni sawa na mtoto anakuja baba/mama nataka maji kunya. Kwahiyo unajua kbsa kwamba huyu anahitaji nini.
Mambo mengine ni yakuyafumbia macho, unaangalia ujumbe
Matatzo ya kiswahili ukimaanisha ushirikina?Hivi karibuni nimegundua anasumbuliwa na matatizo ya kiswahili naona kuingi huko no
Hivi karibuni nimegundua anasumbuliwa na matatizo ya kiswahili naona kujiingiza huko ni kama kujiingiza kwenye matatizo na mimi
Sasa hivi nahitaji kuanza maisha mapya ila kunabint nilikuwa kwenye mahusiano nae kwa zaidi ya mwaka sasa, bado ananipenda na anatarajia nitamuoa na anamatatizo ya Moyo, na kila nikitafuta namna ya kuachana nae nashindwa! nitumie njia gani ili pia nisimuumize.
Umeshamwambia kuhusu Hilo if yes what was her reaction?Ni kama majini!
matatizo ya kiswahili ndo nini tena? sijawah kusikia mieHivi karibuni nimegundua anasumbuliwa na matatizo ya kiswahili naona kuingi huko no
Hivi karibuni nimegundua anasumbuliwa na matatizo ya kiswahili naona kujiingiza huko ni kama kujiingiza kwenye matatizo na mimi
Ujinga sio wa kufumbiwa macho.Wafrika tumeumbwa roho ya kipekee kbsa
tofauti na wenzetu.
Wenzetu hata km ukipresent issue yako kwa
broken english atakuelewa na kukushauri lkn ss
baada ya kumshauri. Unaanza kuchambua
uandishi wake. Ni sawa na mtoto anakuja baba/mama nataka
maji kunya. Kwahiyo unajua kbsa kwamba huyu
anahitaji nini.
Mambo mengine ni yakuyafumbia macho,
unaangalia ujumbe
Yeye husema nivumilie since then until now, sasa mimi sijui mpaka lini niwe navumilia! yani nishachoka
Sababu inayokufanya uamue hivo ni ipi?Lahasha si kwa sababu ya tatizo la lake, ila hofu yangu ni nisije msababishia matatizo baada ya kuachana!
Duuh huo msala!Ni kama majini!
jaman usimuache mulete tumuombeee loooh.Anasumbuliwa na Majini