hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,394
hahaaWahaya utawajua tu kwa misifa,
Mhaya mwingine alishawahi kusema humu anataka kununua mradi wa standard gej[emoji3]
hahaaWahaya utawajua tu kwa misifa,
Mhaya mwingine alishawahi kusema humu anataka kununua mradi wa standard gej[emoji3]
Aisee hahaatunaizingizia tu tutu usikute majani ya mpapai ka mix na mpera
Kutokana na uwepo wangu katika hii forum sasa niwakati wangu baada ya kujiridhisha nataka niinunue JamiiForum nakwakuwa naishi nje sitakuwa na banwa na sheria za huko Tanzania hivyo ni mpango wangu kulifanya jukwa huru hakuna post itakayofutwa!
Maoni yenu wadau nitakao wamiliki soon.