Nataka mwanamke mwenye umbile la asili

Nataka mwanamke mwenye umbile la asili

Tundusami

Senior Member
Joined
Feb 7, 2026
Posts
116
Reaction score
262
Natafuta mwanamke mwenye umbile la asili sio surgery awe na tako kubwa asiwe amejichubua awe mzuri wa sura na tabia njema

Asiwe mzanaki, asiwe mvivu wa kufanya kazi

Ajue kulea watoto

Awe na matumizi ya pesa mazuri

Awe tayari kuishi popote hata kijijini

Ajue kupika chakula

Ajue romansi

Asiwe mtu wa sherehe

Mawasiliano
0713752076
 
Mwanamke wa vigezo hivyo nakushauri ni bora uchonge mgomba uweke ndani.

Mwanamke akishakua na tako kubwa, automatically kuna vigezo hapo atavikosa
 
Natafuta mwanamke mwenye umbile la asili sio surgery awe na tako kubwa asiwe amejichubua awe mzuri wa sura na tabia njema

Asiwe mzanaki, asiwe mvivu wa kufanya kazi

Ajue kulea watoto

Awe na matumizi ya pesa mazuri

Awe tayari kuishi popote hata kijijini

Ajue kupika chakula

Ajue romansi

Asiwe mtu wa sherehe

Mawasiliano
0713752076
cocastic, fursa hii! Umewekewa kabisa na namba. Sasa kama hujui romansi, hujui kupika chakula, kama huwezi kuishi popote, hujui kulea watoto, una matumizi mabaya ya pesa, umejichubua, huna tako kubwa, mvivu wa kufanya kazi, huna uzuri wa sura na tabia, na unapenda sana sherehe; basi utakuwa umepishana na gari la mshahara.
 
Umba wa kwako mkuu maana huwezi kupata mwenye kila kitu anachotaka,vigezo vingi kama kuomba visa 😆 😆
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom