nataka mtoto wa kutoka naye

Kesho sasa, maana leo imeshakua too late.

dada mwali ujue mimi sitanii..ni ki ukweli kweli. kwa hio sasa ni ku pm au tumalize hapa hapa hadharani kupeana contacts na muda wa kukutana
 
Kwani nani kasema mi natania? Tumalize hapa tu, hamna cha PM.
We uko wapi? mi napatikana Tanga ila ukinitumia nauli nakuja Dar.
 
aka..simtaki yule ni under age kwanza mimi ndio nimetoka kijijini watoto wa mjini wale nitawawezea wapi mama

Duh? Umetoka kijijini mara hii unaulizia vijungu...
Anyways, labda mi ndo nimechanganya maana hapa nyuma ya Millenium Towers kuna sehemu inaitwa Kijijini.
 
Kwani nani kasema mi natania? Tumalize hapa tu, hamna cha PM.
We uko wapi? mi napatikana Tanga ila ukinitumia nauli nakuja Dar.

lol..acha kuniuza sasa mimi mwenyewe naishi Tanga,naishi kisosora ,mitaa yangu ni majani mapana,lakasachika .ila kwa sasa nipo dsm.kwa hiyo lini uko free? sitaku pm kama utakavyo tutamalizana hapa hapa
 
Duh? Umetoka kijijini mara hii unaulizia vijungu...
Anyways, labda mi ndo nimechanganya maana hapa nyuma ya Millenium Towers kuna sehemu inaitwa Kijijini.

sitoki hapo millenium tower natoka Tanga kijijini karibu na horohoro Mwali anaishi Tanga muulize atakuwa anapajua.karibuni sama amboni.
 
Back
Top Bottom