Laki 5 ukikatwa deni kulipia mkopo ukabaki na laki 3 utaweza vipi kulipia mafuta na Services ya gari na kujikimu wewe mwenyewe??Habari:
mimi ni mwajiriwa kwenye company fulani ya muhindi na kipato changu ni Tsh si chini ya 500,000/=(take home)
nataka kukopa mojawapo ya gari hizi suzuki jimny wide au escudo ile ya zamani.
Naomba ushauri kama kuna sehemu naweza kupata mkopo wa aina hiyo(achilia mbali kukopa fedha taslimu kutoka bank)
msaada jamani nashida na usafiri.
Nime jaribu bank zote kukopesha wanata mshahara upite kwenye bank zao while mie bank yangu exim ila muhindi akubali mshahara utoke nje ya exim, na exim wana leta pozi mimi kupata bank kwakua awaelewani ki maandiko yani mwajiri ataki kudhamini mfanya kazi yoyote ila mengine yuko tayari while bank awa kubali. ushauri jamani, na budget 4,000,000 ya kununua gari. au kama kuna mtu anakopesha gari niwe na mpa kila mwisho wa mwezi tuna kubaliana hadi namaliza deni ana nipa card ya gari. SITAKI MATUSI WALA UJINGA karibu tu discuss
hilo lisikupe wasi wasi, kwani service bei gani? na je kila siku kuna fanyika sevice?Laki 5 ukikatwa deni kulipia mkopo ukabaki na laki 3 utaweza vipi kulipia mafuta na Services ya gari na kujikimu wewe mwenyewe??
Gari sio kwa kila mtu Mkuu
Hahahah nimependa ujasiri wako ila kama unategemea mshahara huo tuu jaribu pikipiki kwanza.hilo lisikupe wasi wasi, kwani service bei gani? na je kila siku kuna fanyika sevice?
achana na wazo ya kukupa gari itaishi maisha ya aibu sanaHabari:
mimi ni mwajiriwa kwenye company fulani ya muhindi na kipato changu ni Tsh si chini ya 500,000/=(take home)
nataka kukopa mojawapo ya gari hizi suzuki jimny wide au escudo ile ya zamani.
Naomba ushauri kama kuna sehemu naweza kupata mkopo wa aina hiyo(achilia mbali kukopa fedha taslimu kutoka bank)
msaada jamani nashida na usafiri.
Nime jaribu bank zote kukopesha wanata mshahara upite kwenye bank zao while mie bank yangu exim ila muhindi akubali mshahara utoke nje ya exim, na exim wana leta pozi mimi kupata bank kwakua awaelewani ki maandiko yani mwajiri ataki kudhamini mfanya kazi yoyote ila mengine yuko tayari while bank awa kubali. ushauri jamani, na budget 4,000,000 ya kununua gari. au kama kuna mtu anakopesha gari niwe na mpa kila mwisho wa mwezi tuna kubaliana hadi namaliza deni ana nipa card ya gari. SITAKI MATUSI WALA UJINGA karibu tu discuss
siwezi kutumia chombo hicho, na hata nikijifunza mkuu siwezi ingia road unajua madereva wetu bongo walivyo so one mistake ni one goalHahahah nimependa ujasiri wako ila kama unategemea mshahara huo tuu jaribu pikipiki kwanza.
Sent using Jamii Forums mobile app
nisaidie mkuu nanzia wapi una watu una wajua au taasisi ili niweze kupata msaada?Achana na ushauri wa watu ,we kama umeamua kununua gari nunua gari , ata kama unalipwa laki inatosha sana ,,
Sent using Jamii Forums mobile app
kuhusu mapato mkuu usijali, msikomalie huko mimi nataka gari je uwezekano upo haupoMini nakushauri ununue gari ambalo litaongeza vyanzo vyako vya mapato, kama gari ni lazima, vinginevyo zungusha hiyo 4m ili iongezeke uweze kununua gari ukiwa na vyanzo vyenye maana vya mapato
hapana mkuu nilipofikia ina nibidi, usijali nitalitunza tuh ndio la m4, zaidi ya hapo sina uwezoKipato hicho unataka gari Mkuu? Tena ya million 4?? Utakufa na presha
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaha haya nunua ndugu yangu mana gari linahudumiwa kuliko mke kipato hicho bora ununue bajaj ikuingizie pesa aiseekwanini, kutaka gari na matatizo tena.
dah mkuu mbona tabu au si staili gari na mimi? kwani kua na gari ni kujionesha? gari nashida zangu binafsi njee ya hapo au unataka nikupe list ya maitaji yangu kua na gari? naitaji gari si itaji kua na gari kua na mimi nionekane na gari mjini, asa escudo au jimny ni gari yakuuzia sura kweli kama nilikua nataka kujionesha mkuu? ndo maana nikataka gari hizo maana niza kawaida sanaaahahaha haya nunua ndugu yangu mana gari linahudumiwa kuliko mke kipato hicho bora ununue bajaj ikuingizie pesa aisee
ila kama unataka kujionyesha na wenzio wakuone unagari nakusikitikia kila la kheri mkuu