Mimi ninakipenda sana chuo cha Makerere haswa kutokana na historia yake iliyotukuka. Nataka nikasome Biotechnology degree ili niunganishe masters ya genetic engineering. Wadau naombeni ushauri. Kuhusu ada na matumizi nmejipanga. Pia kuhusu vyuo vya bongo kuna matatizo nlipata nkiwa nasoma MD bugando so nkasimama masomo. Choice nliyonayo nkusoma Makerere ili baadae niwe lecturer.