Nataka kwenda kuishi Mtwara

Nataka kwenda kuishi Mtwara

rosemarie

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
6,887
Reaction score
3,441
Naombeni ushauri Wakuu
biashara hapa Arusha imekuwa ngumu na competition ni kali mno
nafikiria kwenda kufungua ofisi Mtwara,naombeni ushauri huo mji ukoje na wenyeji wake wakoje?
je ni idea nzuri hiyo???
 
We ni mbaguzi huwezi kuishi popote! Uliwabagua watu wa iringa haya sasa nenda kawabague watu wa mtwara
 
tena huko hakuna mzaa mzaa jambo la kwanza Nke wa Ntu nawe utaveshwa shanga kiunoni mambo mengine utayaona kadili matendo yako yanavyozidi kuonekana au kupungua ata icho khdogo ulichonacho utanyang'anywa apewe mwenye kingi huku unaona ASANTE.
 
hata mimi nilikuwa natamani kupata shamba mtwara
nimeongea na dogo mmoja yuko hapa hapa jf, kama utakuwa siriazi
nikupe ili upate mwenyeji huko.
 
:welcome::welcome::welcome::welcome::welcome::welcome::welcome:
 
Back
Top Bottom