Nataka kuwashtaki Vodacom

Nataka kuwashtaki Vodacom

Selwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2010
Posts
671
Reaction score
707
Jamani hivi hii kitu inanitokea mimi peke angu?

Nimeweka kifurushi more than 15gb kimeisha ndani ya dakika 20 na sielewi ni kitu gani nimetumia maana simu ilikuwa inacharge. Nimenunua kifurushi kingine 10 GB nikazima data, nimeamka tena naambiwa kifurushi kimeisha. Sasa nataka kuwashtaki hawa Vodacom maana hii imetokea mara mbili sasa na naona nina fedha za kupoteza muda. naanzaje? maaana nasikia unaweza anza na TCRA kwanza.
 
Kna raia aliwahi lipwa fidia 60 million kisa vocha ya jero
 
Vilevile voda naona wako vizuri,
Once nliwahi weka vocha ya buku 5 hku nmezima data,skupga simu wala nini ikaliwa.
Nlipopga customer care nliongea na kama 3 hv,alikuja mtu wa mikopo skua nadaiwa,akaja mtu sjui wa kitengo gani akahakikisha sjatuma msg wala kupiga pasipo kujiunga,akaja mtu wa internet nae akathibitisha hakuna bandwith (yaani sjatumia internet kwa muda nlioweka hio vocha)
Baada ua hapo nkaambiwa wait,
To be honest kwa jinsi walivyohandle situation mlikua nmeshasamehe kiroho safi,customer care ilkua safi sana ila nkapgiwa na namba binafsi ya taita wao naombwa radhi na kupewa gharama mara 3 ya ile ilyopotea mixer kifurushi.i love voda nje na ndani ya tz.
 
Uli

Ulihongwa dadeki zako. Waafrika hamjui haki zenu
 
Acha ujinga wewe
 
Nadhani me ni data so ni hard kuprove. Maana wanasingizia ni matumizi yako. ila nimesave mpaka webpage nilizofungua nione hii inaishia wapi. maana customer care hawana majibu
 
Jamani hivi hii kitu inanitokea mimi peke angu?

Nimeweka kifurushi more than 15gb kimeisha ndani ya dakika 20 na sielewi ni kitu gani nimetumia maana simu ilikuwa inacharge. Nimenunua kifurushi kingine 10 GB nikazima data, nimeamka tena naambiwa kifurushi kimeisha. Sasa nataka kuwashtaki hawa Vodacom maana hii imetokea mara mbili sasa na naona nina fedha za kupoteza muda. naanzaje? maaana nasikia unaweza anza na TCRA kwanza.
nenda ofisini kwao wakuonyeshe matumizi yako.
 
Uli

Ulihongwa dadeki zako. Waafrika hamjui haki zenu
Mkuu..haki naijua ila ume jufge so fast..utajuaje km nipo kwenye law firm..
Iko hivi kwnye business kuna kitu kinaitwa customer satisfaction,ukiweza hapa vitu kadha utaokoa kampuni yako.
Nmetoa mfano hapo jamaa alilipwa 60 million kwa kesi ya vocha ya jero,mimi bnafsi kwa kua satisfied kwa jinsi walivyo handle ile situation nkawa okay na kusamehe sbb pia nna knowledge ya hivi vitu,sio kila saa ni manmade errors ndom mna nkasema its owkay but manager wao kiubinadam akaona iswe tabu akafanya km ka fidia,na usidhani nlitukaruka lbda kwa furaha its kiume nkamwmabia dont worry ishatokea akainsist na maneno mazuri ya kumu incourage customee asisepe ..
Hadi hapa manager utamuona boya au mm utasema sjui haki but nmekua napata huduma safi na nmekua good Ambassador wao,inaitwa accomodation method kwny conflict management..
Sorry mkuu maelezo mengi hapa kwako,kwangu na voda ni win-win situation [emoji41]
 
Nadhani me ni data so ni hard kuprove. Maana wanasingizia ni matumizi yako. ila nimesave mpaka webpage nilizofungua nione hii inaishia wapi. maana customer care hawana majibu
Jaribu kuwaendea offisini kwao mkuu.ikiwa proven ttzo lko kwao mtanegotiate positive outcome..
Kua makini mkuu unaweza ukawa umedukuliwa pia
 
unamaana gani kusema nimedukuliwa mkuu
 
unamaana gani kusema nimedukuliwa mkuu
Nmesema tu kwa mfano..
Maybe simu yako imekua hacked kiasi kwamba vitu vtakavyotendeka kwny simu yko utaona illusions tu kmbe kna dukuzi team ndo inafamya mpk data inatumika hku ww unaona umezima..
Huku ni kupana sana tho n just theory mkuu,you never know
 
Mkuu..haki naijua ila ume jufge so fast..utajuaje km nipo kwenye law firm..
Iko hivi kwnye business kuna kitu kinaitwa customer satisfaction,ukiweza hapa vitu kadha utaokoa kampuni yako.
Nmetoa mfano hapo jamaa alilipwa 60 million kwa kesi ya vocha ya jero,mimi bnafsi kwa kua satisfied kwa jinsi walivyo handle ile situation nkawa okay na kusamehe sbb pia nna knowledge ya hivi vitu,sio kila saa ni manmade errors ndom mna nkasema its owkay but manager wao kiubinadam akaona iswe tabu akafanya km ka fidia,na usidhani nlitukaruka lbda kwa furaha its kiume nkamwmabia dont worry ishatokea akainsist na maneno mazuri ya kumu incourage customee asisepe ..
Hadi hapa manager utamuona boya au mm utasema sjui haki but nmekua napata huduma safi na nmekua good Ambassador wao,inaitwa accomodation method kwny conflict management..
Sorry mkuu maelezo mengi hapa kwako,kwangu na voda ni win-win situation [emoji41]
Ok, sawa mkuu umeeleeza vema. Kama uliweza kusamehe ni vzur. Ila kiukwel voda wanapiga pesa za watu saaana hususan kwny internet data zinasepa mnoo. Na hadi watu baadhi kulalamika hela zao m_pesa kupotea bila sababu. Mm nimtumiaj wa voda ila kwa shinikizo la watu wa nyumban kuwasliana nao ila siwakubal voda. Ni wahuni
 
Dohh..poleni asee..
I guess haya mambo mpaka yakukute ndo mtu unapata experience.
Kwa haya yaliyowatokea mkuu ukiwashtaki ni fidia ndefu saana ila uhuni huu sio kabisa.
Poleni wote mliokutana nayo haya
 
Back
Top Bottom