Nataka kuwashtaki Vodacom

Nataka kuwashtaki Vodacom

Ilinitokea mimi, tena Mara mbili hivyo hivyo.
Kifurushi cha Mb ninachokaa nacho mwezi mzima kinakata ikiwa hata siku haijaisha.
Yaani kulala tuu ni makosa ukiamka unakutana na msg mb zimeisha.
 
Dohh..poleni asee..
I guess haya mambo mpaka yakukute ndo mtu unapata experience.
Kwa haya yaliyowatokea mkuu ukiwashtaki ni fidia ndefu saana ila uhuni huu sio kabisa.
Poleni wote mliokutana nayo haya

Unajua hizi financial institutions zina matatizo. Mfano kuna hii NMB- Huko mtimbira yan pesa za mtumishi wa umma za mishahara mitatu hazionekani zilipo lkn salary statement zinaonesha hela imeingia,,...kweny account hakuna. Wakafatilia wakakuta kuna wadau wanazipiga juu kwa juu. Huenda ni systems zao ni mbovu znakua hacked or mtu wao wa ndan anafany ivo.
Ndo walvo Voda, sema watz weng hatujui sheria na pa kuanzia
 
Dooh kweli mkuu,hasa kwny mabenki jiki tatzo pia nlshawahi ona kwa mtu baki.
Nahisi system zao au inside kob job pia.
Maslahi pia yakiwa madogo kwa watumishi inapelekea kua source ya upigaji
 
Back
Top Bottom