Premij canoon
JF-Expert Member
- May 27, 2018
- 1,276
- 2,981
Karibu ujifunze biashara ya forex trading... Mwaka mmoja uta jifunza tena jwa bidii ya hali yajuu then mwaka unaofwata ni mwaka wako wa utajiri
Omba uzima kwanza. Hayo mengine Ni majaaliwa take Mwenyezi Mungu.Mzuqa
Hizi njozi za ushindi za kuwa tajiri sasa hivi zinanijia kwa full force. Nimechoka kufanya manual jobs kutumikia mabepari na kuinhale makemikali.
Now i just want to be rich kukamata hela ya maana kwa anzia dola million moja kuendelea ama equvalent heshima iwepo kwenye jamii.
I want financial freedom. Sitaki tena kuamka kila siiku alfajiri nakurudi ghetto late at night. Nataka kuishi maisha ya heshima kufunguliwa mlango wa gari, kufunguliwa mlango, kubebewa simu, kupikiwa, kufuliwa, kuwa na msaidizi nitakayemuajiri kunilipia bills na jopo la mafinancial advisers na legal teams.
Am rapidly approaching 30 LAZIMA niwe tajiri.
Niombeeni
Mawazo mazuri Sana. Kila LA kheri mkuu.
Kumkatisha tamaa mwingine Kwa kile alichoshindwa MTU kukifikia ni kutafuta relief kwenye moyo. Waache tu. Jimbo liko wazi Na mgombea uko mwenyewe mpaka sasa..Hapo tu ndio nakupendaga, hauna roho ya kimasikini. Umeona watu wanavyomkatisha mwamba tamaa?
Jimbo vipi?
Sikubali. Naweka pingamizi. Huu ni uonevu. Kwa nini awe pekee na fomu nimerudisha. Nagomea uonevu huu 😂😂😂😂😂😂Kumkatisha tamaa mwingine Kwa kile alichoshindwa MTU kukifikia ni kutafuta relief kwenye moyo. Waache tu. Jimbo liko wazi Na mgombea uko mwenyewe mpaka sasa..
Kitu pekee nimekosea ni kupanga nyumba ya lak 3 halafu naishi mwenyewe!Best wabongo tunapenda sana luxury
Mtu apanga apartment mshahara wote
Hahahahaaa. Umerudisha lakini haina kiapo.Sikubali. Naweka pingamizi. Huu ni uonevu. Kwa nini awe pekee na fomu nimerudisha. Nagomea uonevu huu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Matumizi mabaya ya hela hayo bby. Bora Mimi naishi Na Dada Na mtoto. Unaonaje tuanze kuishi wote halafu tupange NYUMBA ya 450k ile 150k inayobaki tunaiweka kwingine.?Kitu pekee nimekosea ni kupanga nyumba ya lak 3 halafu naishi mwenyewe!
Kweli baby after 3yrs tunahamia kwenye kale kamjengo ketu bweni JKT. Done deal!Matumizi mabaya ya hela hayo bby. Bora Mimi naishi Na Dada Na mtoto. Unaonaje tuanze kuishi wote halafu tupange NYUMBA ya 450k ile 150k inayobaki tunaiweka kwingine.?
Kumkatisha tamaa mwingine Kwa kile alichoshindwa MTU kukifikia ni kutafuta relief kwenye moyo. Waache tu. Jimbo liko wazi Na mgombea uko mwenyewe mpaka sasa..
Umesahau na kugegedwa'Mzuqa
Hizi njozi za ushindi za kuwa tajiri sasa hivi zinanijia kwa full force. Nimechoka kufanya manual jobs kutumikia mabepari na kuinhale makemikali.
Now i just want to be rich kukamata hela ya maana kwa anzia dola million moja kuendelea ama equvalent heshima iwepo kwenye jamii.
I want financial freedom. Sitaki tena kuamka kila siiku alfajiri nakurudi ghetto late at night. Nataka kuishi maisha ya heshima kufunguliwa mlango wa gari, kufunguliwa mlango, kubebewa simu, kupikiwa, kufuliwa, kuwa na msaidizi nitakayemuajiri kunilipia bills na jopo la mafinancial advisers na legal teams.
Am rapidly approaching 30 LAZIMA niwe tajiri.
Niombeeni
Freemason huwajui walipo..!Mzuqa

Mkuu, bora upate hizo hizo za kutosheleza riziki yako tu! Inaelekea ukizipata hizo unazotamani kuzipata Utasumbua sana mjini hapa [emoji23][emoji23][emoji23]niki timam bro. Ngoja nizikamate. Natinga designer suit ba viatu toka chini hadi juu ni dola elfu mbili mkononi kitu rolex dola elfu 28 halafu ndani ya renji natinga kitaa kwa kuwashtukizia. Kabla sijafika natoa manati ya mzungu bastola nakufyatua tatu nne kitu kinakohoa paah paah paah mwanamme karudi
Unataka kuwa tajiri au unataka kuwa gangsta?niki timam bro. Ngoja nizikamate. Natinga designer suit ba viatu toka chini hadi juu ni dola elfu mbili mkononi kitu rolex dola elfu 28 halafu ndani ya renji natinga kitaa kwa kuwashtukizia. Kabla sijafika natoa manati ya mzungu bastola nakufyatua tatu nne kitu kinakohoa paah paah paah mwanamme karudi
Ukitumia shortcut utamamiza ndugu zako harafu wewe utakuwa wa mwisho ndani ya miaka michache tu. Kuwa mwangalifu. No sweet without sweat.Mzuqa