Billie
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 13,709
- 23,149
Hizi ni tamaa mbaya za vijana washinda vijiweni tena wenye asili ya uvivu uliopindukia.niki timam bro. Ngoja nizikamate. Natinga designer suit ba viatu toka chini hadi juu ni dola elfu mbili mkononi kitu rolex dola elfu 28 halafu ndani ya renji natinga kitaa kwa kuwashtukizia. Kabla sijafika natoa manati ya mzungu bastola nakufyatua tatu nne kitu kinakohoa paah paah paah mwanamme karudi
Hata Bakharesa hakuwazaga utumbo wa type hiyo kwenye harakati zake za kutafuta utajiri.NYIE NDO MNAISHIAGA KWENYE MIKONO YA WAGANGA NA KUWAPA MASHARTI YA KUUA WATU WENU WA KARIBU AT THE END MNAISHIA KWENYE UCHIZI.