Nataka kuwa tajiri kwa lazima

Nataka kuwa tajiri kwa lazima

Ukitaka utajiri wa haraka ni kwamba lazima tufanye yafuatayo

1. Kwanza futa aibu ina maana kazi yeyote anapiga
2. Ondoa huruma inapotokea fursa ya kupiga hela picha mchele wa kutosha usiwe mwoga hata kama ni dhuluma we mbele kwa mbele tu man

3. Usiwe mwoga au muoga wa kufanya lolote la kukupatia hela
 
Naenda Italy kawe shogga unalipwa million 22 kwa kuliwa usiku mmoja baada ya mwaka utarudi tajiri sana usie na malinda
 
Kwenye maisha yangu najizumzisha kwamba Ukishapata pesa haijalishi umeipata vipi lazima utaheshimika
 
Kila mara huchelewi kujisifia eti una permanent residence in Denmark. Big deal, yeah? Wee osha sahani masaa 16 kila siku, Utacheza bahati nasibu zote huko kila wiki, ukiambulia 300 kronor once a year, unajamba siku nzima out of excitement . Daadeki!
 
Kila mara huchelewi kujisifia eti una permanent residence in Denmark. Big deal, yeah? Wee osha sahani masaa 16 kila siku, Utacheza bahati nasibu zote huko kila wiki, ukiambulia 300 kronor unajamba siku nzima kwa excitement.

hii ilikua kama joke wote tufurahi hata kama yuko serious sio kumshukia mwenzako hivyo..mnhhh..
 
Kila mara huchelewi kujisifia eti una permanent residence in Denmark. Big deal, yeah? Wee osha sahani masaa 16 kila siku, Utacheza bahati nasibu zote huko kila wiki, ukiambulia 300 kronor unajamba siku nzima kwa excitement.
umenifanya nicheke kichizi. Ila bahati nasibu sigara na bangi ndio vitu pakee vinavyonimalizia hela
 
Kumkatisha tamaa mwingine Kwa kile alichoshindwa MTU kukifikia ni kutafuta relief kwenye moyo. Waache tu. Jimbo liko wazi Na mgombea uko mwenyewe mpaka sasa..
Mmh....[emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji33]
 
niki timam bro. Ngoja nizikamate. Natinga designer suit ba viatu toka chini hadi juu ni dola elfu mbili mkononi kitu rolex dola elfu 28 halafu ndani ya renji natinga kitaa kwa kuwashtukizia. Kabla sijafika natoa manati ya mzungu bastola nakufyatua tatu nne kitu kinakohoa paah paah paah mwanamme karudi
Bila Shaka hi ni ndoto c bure
 
[emoji23] [emoji23] dah! Haiya bana
 
Back
Top Bottom