Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,346
- 26,143
wewe ni nini kinachikushwawishi kufikiri unatakiwa kuwa mwanasiasa?ni nani role model wako katika siasa na kwa nini?kabla ya kukushauri chama cha kujiunga,ina maana mpaka sasa wewe si mwanachama wa chama chochote?kama sio kwa nini?Nina ndoto ya kuwa mwanasiasa. Nataka kushiriki,kama kiongozi wa kisiasa,katika kuiongoza na kuijenga nchi yangu-Tanzania. Nina ndoto ya kuwa mwanasiasa mahiri. Nataka kujiunga na wanasiasa vijana waadilifu na wenye uchungu wa kweli wa ukombozi wa kifikra na kiuchumi wa watanzania.Ni mzaliwa wa Wilaya ya Kibaha,Mkoa wa Pwani ingawa ni mngoni. Tanzania yetu inaruhusu kuchanganyika kama hivi.
Sasa nina miaka thelathini.Ni msomi wa sheria kwa Shahada ya kwanza niliyohitimu mwaka 2009 katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.Nikiwa shuleni na Chuo Kikuu na hata Taasisi ya Mafunzo ya Sheria kwa Vitendo,almaarufu kama Law School of Tanzania,nimewahi kuwa kiongozi wa ngazi mbalimbali.Nilianzia umonita hadi Urais.CV yangu ikihitajika nitaiweka hapa
Wajuzi wa siasa za nchi hii niongozeni.Nifanyaje? Chama gani cha kisiasa kitanifaa? Kwanini? Nisaidieni wakuu
Nina ndoto ya kuwa mwanasiasa. Nataka kushiriki,kama kiongozi wa kisiasa,katika kuiongoza na kuijenga nchi yangu-Tanzania. Nina ndoto ya kuwa mwanasiasa mahiri. Nataka kujiunga na wanasiasa vijana waadilifu na wenye uchungu wa kweli wa ukombozi wa kifikra na kiuchumi wa watanzania.Ni mzaliwa wa Wilaya ya Kibaha,Mkoa wa Pwani ingawa ni mngoni. Tanzania yetu inaruhusu kuchanganyika kama hivi.

Mkuu katalina,mim ni kweli Mwanasheria.Nimemaliza darasa moja na Katibu wa BAVICHA aliyesimamishwa wa Mwanza,Bwana Salvatory Magafu.Nimemaliza darasa la mbele la Esther Wassira ambaye ananifahamu vyema. Sisemi uongo Mkuu.Nina wasiwasi kama wewe ni mtaaluma wa hiyo elimu uliyotaja kuwa nayo. Eti tukutajie chama gani kinachokufaa!!!!!!!!!! Kajiunge na M23.
Ipi MkUU Mwanamalundi? Tayari nina dhamira...nahitaji mwongozo tu MkuuSijawahi kusikia mwanasiasa yoyote duaniani aliyepata kuwa mwanasiasa kwa kutumia njia unayotaka kuitumia wewe. Kila la kheri.
Mkuu katalina,mim ni kweli Mwanasheria.Nimemaliza darasa moja na Katibu wa BAVICHA aliyesimamishwa wa Mwanza,Bwana Salvatory Magafu.Nimemaliza darasa la mbele la Esther Wassira ambaye ananifahamu vyema. Sisemi uongo Mkuu.
1. Sijawahi tanu kuzaliwa kwangu 2. Ndio,nimewahi kuzisoma za CCM na CHADEMA 3. Misimamo yangu ni kusimamia haki na kujenga hoja kwa mifano na saabu...sina hakikainashabihiana na chama gani Mkuu.4. Sijawahi Mkuu.Lakini,siamini kwenye michezo michafu...naamini kwenye siasa safi ya kujenga hojaKabla ya kukushauri chama gani kinaweza kukufaaa ningependa kujua yafuatayo:
- Uliwahi kujiunga na chama chochote cha siasa?
- Umewahi kusoma katiba za vyama vinavyoexist hapa TZ? Kuna katiba zilizokukonga moyo?
- Misimamo yako ya kisiasa inashabihiana na katiba z a vyama gani, kama umewahi kuzisoma?
- Unagats za kujihusisha na michezo michafu ya siasa?
Kila la heri mkuu.
Na wewe tafuta AFANDE upige nae picha huku umevaa ki-sisiemu then wale jamaa wa LUMUMBA watakuchukua tuu.Nina ndoto ya kuwa mwanasiasa. Nataka kushiriki,kama kiongozi wa kisiasa,katika kuiongoza na kuijenga nchi yangu-Tanzania. Nina ndoto ya kuwa mwanasiasa mahiri. Nataka kujiunga na wanasiasa vijana waadilifu na wenye uchungu wa kweli wa ukombozi wa kifikra na kiuchumi wa watanzania.Ni mzaliwa wa Wilaya ya Kibaha,Mkoa wa Pwani ingawa ni mngoni. Tanzania yetu inaruhusu kuchanganyika kama hivi.
Sasa nina miaka thelathini.Ni msomi wa sheria kwa Shahada ya kwanza niliyohitimu mwaka 2009 katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.Nikiwa shuleni na Chuo Kikuu na hata Taasisi ya Mafunzo ya Sheria kwa Vitendo,almaarufu kama Law School of Tanzania,nimewahi kuwa kiongozi wa ngazi mbalimbali.Nilianzia umonita hadi Urais.CV yangu ikihitajika nitaiweka hapa
Wajuzi wa siasa za nchi hii niongozeni.Nifanyaje? Chama gani cha kisiasa kitanifaa? Kwanini? Nisaidieni wakuu
Mkuu CHAI CHUNGU,umenichekesha sana.Asante kwa mafunzo yako murua ya juzi na jana katika bandiko lako la mishemishe zako za kimapenzi.Pamoja sana mjeda wangu!Na wewe tafuta AFANDE upige nae picha huku umevaa ki-sisiemu then wale jamaa wa LUMUMBA watakuchukua tuu.
Pamoja sasa mkuu!Mkuu CHAI CHUNGU,umenichekesha sana.Asante kwa mafunzo yako murua ya juzi na jana katika bandiko lako la mishemishe zako za kimapenzi.Pamoja sana mjeda wangu!
Nisaidie kitu kimoja Mkuu CHAI CHUNGU,yupi aliyefariki kati yenu wahusika watatu?Pamoja sasa mkuu!