Nataka Kuwa Msomi

Nataka Kuwa Msomi

NI LAZMA UWE NA FIRST CLASS ?
Inategemea na Masters unayotaka kufanya, kuna baadhi ya course wanahitaji First Class au Second Class au Post-Graduate Diploma, kama una pass ya degree basi itakuhitaji ufanye Post-Graduate Diploma mwaka mmoja ili ufikie vigezo na masharti ya chuo/course husika.

Japokua mi ni miongoni wasioamini Class hizo za degree, mtu anaweza akakaza buti kinoma usiku na mchana akaishia na Lower Second, mwakati mwingine hasomi ila akavua chupi tu na akapewa Upper First. Tumekutana nayo haya na yanauma sana mkuu
 
Back
Top Bottom