Mkuu sidhani kama hilo jina lipo sahihi lakin ni koz inayotolewa kwa wiki sita inayohusiana na uangalizi upande wa engine(engine room).Kwenye hiyo kozi unakutana na basic mathematics,physics,workshop technology na masomo yanayohusiana na engine.Hiyo kozi unafanya mitihani aina mbili,wa kwanza wakuandika kwenye karatasi(ambayo tumezoe) wa pili maswali ya papo hapo au ana kwa ana(oral).Ili ufanikiwe kwenye huu mtihani(oral)lazima uwe na seatime angalau ya mwezi mmoja na kuendelea maana maswali yake yanahusiana na kaz unazofanya kwenye meli hasa kwenye chumba cha engine(Engine room).