Nataka kuvunja ndoa

Nataka kuvunja ndoa

Wadau wife naona kanichosha, yaani mawasiliano kati yetu yamekuwa hafifu sana. Wakati mwingine nashindwa kumuelewa, mara aje na stori za watu wengine wanafanyaje ktk maisha yao mara alete stori za kasimuliwa na mwanaume mambo ya ngono, ila kikubwa mi nampenda ila conditional love yangu naona imefikia ukomo kwani mimi nina excessive love na siyo selfish ila mwenzangu anaonekana ni selfish na ikija ktk maongezi naona anakosa busara.
asante kwa taarifa!
 
una hamu na kuvunja ndoa enh?
waskia tu ndoa zinavunjika na we uaona ah litanipitaje hiiili na mime niwe mimi!
VUNJA TU BANA!MWANAUME WA AINA YAKO SI MUME ATI!
huna kifua yakhe !HUNA! kwshinehi babu jhiii!
 
okay taarifa yako tumeiona
 
Angalia ulivyotupia lawama zooooote kwake nawewe kujitoa kabisa kana kwamba ndoa ni mtu mmoja. Hujawahi kudhani labda kuna kitu wewe unaweza kufanya na ndio kikawa kinamfanya badilike hivyo? Jaribu kwanza kuangalia hilo tatizo kutoka another perspective. Jifikirie nini wewe unaweza kufanya kwanza kabla ya kutupa lawama za moja kwa moja kwa mwenza wako.
Soma 7 habits of highly effective people.
 
Wadau wife naona kanichosha, yaani mawasiliano kati yetu yamekuwa hafifu sana. Wakati mwingine nashindwa kumuelewa, mara aje na stori za watu wengine wanafanyaje ktk maisha yao mara alete stori za kasimuliwa na mwanaume mambo ya ngono, ila kikubwa mi nampenda ila conditional love yangu naona imefikia ukomo kwani mimi nina excessive love na siyo selfish ila mwenzangu anaonekana ni selfish na ikija ktk maongezi naona anakosa busara.
Sehumu nilio highlighted inatisha, hata mimi ningeisha ona hanifai....Mwanamke mwenye adabu zake hawezi kukaa anasika mambo ya ngono kutoka kwa wanaume wengine, tena wanamsimulia yeye nayeye kabaki kuwasikiliza, angekuwa na adabu angesema nyamazeni...FULL STOP.
 
hyo cyo sababu kaka, else uwe na mambo yako wataka fanya unatafuta sababu ya kumwondoa!
 
Wadau wife naona kanichosha, yaani mawasiliano kati yetu yamekuwa hafifu sana. Wakati mwingine nashindwa kumuelewa, mara aje na stori za watu wengine wanafanyaje ktk maisha yao mara alete stori za kasimuliwa na mwanaume mambo ya ngono, ila kikubwa mi nampenda ila conditional love yangu naona imefikia ukomo kwani mimi nina excessive love na siyo selfish ila mwenzangu anaonekana ni selfish na ikija ktk maongezi naona anakosa busara.

Naona kama kuna vitu 3 hapo
1. Mawasiliano yamepungua sana
2. Anapata story toka kwa watu wengine jinsi gani mahusiano yanavyopaswa kuwa.
3. Ni mbinafsi (selfish)
Jaribu kuangalia root cause ya hiyo shida, kwani mimi naona yanahusiana kwa karibu sana. Na ukiipata ideal nayo na wala usijihangaishe na hizo dalili 3.
If you allow me, we can start lkn you have to be honest with yourself ili kuweza kupata mzizi wa tatizo mnaloliface.
 
Sehumu nilio highlighted inatisha, hata mimi ningeisha ona hanifai....Mwanamke mwenye adabu zake hawezi kukaa anasika mambo ya ngono kutoka kwa wanaume wengine, tena wanamsimulia yeye nayeye kabaki kuwasikiliza, angekuwa na adabu angesema nyamazeni...FULL STOP.

Umeona eeh, ndio maana nikasema "sikwambii jinsi gani uishi na mumeo/mkeo". Hizi story za mtandaoni hazina tofauti sana na mashoga au kitchen party uchwara.
 
sijaona jambo la kusema tushauri hapa ama tujadili. kuwa mtu mzima acha utoto.
akikua ataacha tu maana siku hizi ndoa ni fashion wengi wanakimbilia bila kujua nini kilichojificha ndani ya ndoa za watu wengi
 
Umeona eeh, ndio maana nikasema "sikwambii jinsi gani uishi na mumeo/mkeo". Hizi story za mtandaoni hazina tofauti sana na mashoga au kitchen party uchwara.
Yeah ndo mana na mimi najiuliza hivi, inakuwa kuwa vipi, mtu aje alete siri za nyumbani kwake hapa.

Safi sana kaunga nimependa point yako 😛oa
 
Wadau wife naona kanichosha, yaani mawasiliano kati yetu yamekuwa hafifu sana. Wakati mwingine nashindwa kumuelewa, mara aje na stori za watu wengine wanafanyaje ktk maisha yao mara alete stori za kasimuliwa na mwanaume mambo ya ngono, ila kikubwa mi nampenda ila conditional love yangu naona imefikia ukomo kwani mimi nina excessive love na siyo selfish ila mwenzangu anaonekana ni selfish na ikija ktk maongezi naona anakosa busara.

Kwani hukuyaona hayo wakati unamchumbia...kama amebadilika basi ni kazi yako kumrudisha kwenye mstari ulionyooka....hamna binadamu mkamilifu na tambua pia hamna ndoa ambayo haina matatizo.....na mwisho kabisa Mwanaume kamili huwezi omba ushauri kuhusu mke wake mitaani.....labda awe demu tu..lakini nakushauri acha kabisa kudiscuss ishu za wife ako nje ya ndoa yako...yamalizie chumbani ukishindwa nenda kwa shehe au mchungaji atakupa ushauri mzuri zaidi.
 
una hamu na kuvunja ndoa enh?
waskia tu ndoa zinavunjika na we uaona ah litanipitaje hiiili na mime niwe mimi!
VUNJA TU BANA!MWANAUME WA AINA YAKO SI MUME ATI!
huna kifua yakhe !HUNA! kwshinehi babu jhiii!

Afadhali na wewe umeliona hilo Snow....mimi sipendi kabisa unakaa na mwanaume mwenzako anaanza kuongelea mambo ya ndoa yake...ni ujinga na upuuzi ambao watu wengi wanao sasa vivi....
 
Wadau wife naona kanichosha, yaani mawasiliano kati yetu yamekuwa hafifu sana. Wakati mwingine nashindwa kumuelewa, mara aje na stori za watu wengine wanafanyaje ktk maisha yao mara alete stori za kasimuliwa na mwanaume mambo ya ngono, ila kikubwa mi nampenda ila conditional love yangu naona imefikia ukomo kwani mimi nina excessive love na siyo selfish ila mwenzangu anaonekana ni selfish na ikija ktk maongezi naona anakosa busara.

Hili ndo unavunja ndoa kiongozi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom