Nataka kuvunja ndoa msaada wa ICT plz.

tafuta kiasi cha kama laki mbili hivi halafu mtafute mtu yoyote annayefanya kazi kwenye mtandao wa simu ya mkeo kama tigo au voda kitengo cha IT mpe mchongo atakuletea print out za meseji na hata voice calls uone jinsi mke wako anavyolilia dushalele ya mume mwenzio,uone jinsi anavyokudhlilisha.
 
Kuna jamaa yangu mmoja kamkamata mkewe live sii chini ya mara tatu lkn mpaka sasa ni zaidi ua miaka 3 wako wote lkn katika uchunguzi ikabainika yule jamaa yangu shughuli haiwezi na ina fika hatua anaona ni bora iwe hivyo ili siri yake asiijue mwanamke mwingine sasa nawewe ndugu yangu angalia usisingizie watoto hata huyo jamaa yangu kisingizio kikuu ni watoto.
 

Pole sana bro ur real a man muombe sana mungu atambadilisha mkeo
 
Nilitamani nimpe huu ukweli. Najua ntashambuliwa lkn ndo ukweli. Never trust a woman, never lean on a woman, utaua, utajiua. Muheshimu na umdharau pia. Mfanye Quencher wako tu. sio Ndugu yako huyo. Asikuumize kichwa agongwe hata na mbwa achana nae, ameshindwa kujiheshimu huyo, hakuna sababu ya kuomboleza. Tena huna Mtoto nae tabu ya nini? Lkn jitazame nawe pia Kama kuna. Sehemu umetetereka, je ni ufundi?, je ni pesa?, j e ni jeuri, mpenzi hamna? Jipime Kama hujabadilika mi plainly nakuambia it's your right time to party, if no rekebisha ulinde heshima ya vigelegele vyetu
 
Wale wataalamu wa ICT tafadhali kama mnampenda ndugu yenu msisaidie katika hili, maana kama hajapata ushahidi yuko hoi kitandani, akiupata ushahidi si ndio tutasikia yuko ICU?.
 
Vry true na mimi naona hapa kuna kitu huyu dda kinamsumbua..ndio anatafuta kupunguza mawazo.
 
 

swali hili ni gumu.. hata na wewe unajua kwamba ni gumu sana.. kwenye maisha kuna mambo usiyafikirie wala usiuchoshe ubongo kufikiria. yaanche maisha yaendezake hivyo-hivyo. kwanza lazima ujihoji KWANI prukushani hizi zilianza lini, na je umekoswakoswa? pili huyo utayemtwaa upya je atakuwa malaika??.. lakini nadhani Dignity ni muhimu sana kuliko mapenzi. lazima mtu uheshimu sana utu wako kuliko kungangania kutafuta vichongeo tu..vichongeo vyenyeweni hivi vikishaona una hiki na kile basi dia na hani nyiingi hata huelewi kama ni true love au chinesse type of love NI vurugu mtindo mmoja .. !!
 
Try zs, kama una access na computer a.ayotumia kwa facbuk zen do ze followng,
Mara nyng web browser kama mozila znakawaida ya kuhfadh user names,dates na paswed znazotumika kuingia kwenye account tofauttofaut

so we nenda kwenye tools,option then click on security
Pale click on saved paswed,,itakuprompt hv kubali kwa kuclick yes, zen otaona account name,user names na paswed.
Chukua username ambayo ckuzote n email adress na pacwed zen login kwenye acount yake ya fb
Nb:
Natumia cm kupost hi kitu so naweza kua nmekosea steps coz cna computer hapa ya kufanya refarence.bt it is easy!
 
ndugu pole sana,kama unahtaji fumaniz ni very simple; kwanza angalia simu yake aidha in setting au appication settng kama kuna automatic voice recorder kama ipo bas select automatic record then atakapowasiliana na anybody we nikuhamishia kwa cm yako na kucheck miad yote,pili kama cmu haina kitu hcho basi nenda upand wa security kaweke pasword kwenye sms.
 

na huu ndio ushauri nao kupa na jaribu kuufatilia kwa ukaribu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…