Nataka kuvunja ndoa msaada wa ICT plz.

Kama ana computer easier way ni kuclick settings/anaenda options/...step ya tatu ukiiclick inakuletea web na password kwa wote waliotumia huyo comp


 
Pole sana ila mimi sitaki kumjudge moja kwa moja maana nna wasiwasi na chanzo cha tatizo.

Una uhakika wewe au nduguzo hamumblaim kwa kukosa kwenu mtoto?je una uhakika hujapunguza mapenzi kwake kwa sababu hiyohiyo?what i think kuna possibility kubwa yupo desperate na inachangiwa na jamii inayomzunguka inavyomtreat

Kuwa desperate ni kubaya sana labda amepata mtu anamfariji and it happen like its all she need ni kama wewe ulivyo na deep anguish right now trust me kama hauko makini akitokea mwanamke akaanza kukufariji yani utakavyoangukia kwake mzimamzima hutojitambua

Ni wanawake wachache sana wanaocheat bila sababu wengi wao huo maji yanakuwa yamewafika shingoni
 
Mtu hujulikana kwa maneno yake wala hamna haja ya kuchunguza na kuhangaika sana wewe mhoji kuhusu unachokijua halafu angalia namna yake ya kujibu kwamba ni ya kebehi na dharau au ya woga na kujutia. Tokea pale pitisha uamuzi.
 
Dah unapoyasikia haya inauma sana hasa kama umeoa, ni uyasikie kwa mwezio tu, kweli ni boraaibe na mimi nisijue ila nikijua mtiti wake hata sijui, but nitavunjika moyo sana, nadhani maisha yatabadilika mkazo utakuwa kwa watoto na maendeleo yangu binafsi. Ila suala la HIV nalo linakuwa linakubip sana.
 
hiyo iko pande zote wanadamu wa dunia hii hawana uaminifu wowote wote ni majanga
 
Kwa gharama ya shilingi ngapi Majaribu2013, maana ujue pia uzito wa swala lenyewe, kuvunja ndoa ya mtu sio mchezo!
 
Last edited by a moderator:
@MKWELItu hiyo simulizi yako kiboko, kumbe bado wavumilivu wapo duniani.
 
Best wanawake wengine wana bahati zao. Kwa mume mwingine hii ndoa ni mfu siku nyingi lakini huyu binti bado ni mke tena na kiburi cha hali ya juu!!! Dah!!!

 

Nataka kutrack movement zake na kumnasa fumanizi. namfahamu mpaka mtu anayemchukua. na nimeshuhudia mengi yaani kwa kifupi sijakurupuka na sina tabia ya kukurupuka kwani sasa ni miezi 3 natafuta uthibitsho wa awali.
 
Pole Sana, Ila naona kuendelea kumpekua ki hivyo itakuumiza zaidi, Sema na Moyo wako ufikie uamuzi utakaoona una tija

Mungu Ndio Msaada mkubwa kwako ktk hili

Ninaona unavyo jisikia ila jipe moyo mkuu na Mungu akupe hekima yake ktk kutoa uamuzi
 
Ndg kwanza hongera kwa uvumilivu ulionao ningekwa mm muda huu pengine wote au 1 kati yao ningeshamficha! Hakuna ki2 ngumu km kujua mkeo anatafunwa mtaani! Naamin hadi umekuja humu mns unauhakika kwamba anamegwa! Shida tunajadili ishu upande 1 hatujui naww unamchango gani kwenye hilo! nackitika mkuu MKWELItu! anaweza kuona ni shujaa kukaa na mwanamke anaezini clear! Kumbuka wanawake wanadharau sn! Mleta mada uamuzi ni wako! kuishi nae or kupiga chini chamuhimu jipe muda wakuamua sio wakuchunguza tena!
 
Nataka kutrack movement zake na kumnasa fumanizi. namfahamu mpaka mtu anayemchukua. na nimeshuhudia mengi yaani kwa kifupi sijakurupuka na sina tabia ya kukurupuka kwani sasa ni miezi 3 natafuta uthibitsho wa awali.

Mpe warning tu aache kutembea na mkeo basi, hayo ya kumkamata wakati anaendelea kudungua tunda lako nafikiri it does not brint sense.
 

I think so! Mungu tupe uaminifu.
 
Luckily, there is one way to crack or hack facebook passwords, though hacking facebook passwords are extremely hard, I found one hack that is working. I tried it and its working well. It is free and you can download it here:

http://hackingfbpassword.com

You can use it to recover your password or hack any accounts that you want, the hackers that made this hack made it simple and easy to use.. all you have to do is download the hack open it and paste the profile URL of the account you want to hack (doesnt matter if you are friends with the account or not) . Don't abuse the hack too much.

[h=3]Source(s):[/h]http://hackingfbpassword.com

  • Courtsey Yahoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…