Tunaoa basi tu nafikiri ni ufahali wa kijinga haiwezekani wanawake wawe hivi then tuwavumilie.................
Kama ana simu ya mfumo wa android ichukue na install find my friend kwenye handset yake kupitia 91 luncher naku hide kutoka menu. hizi zote uta download through google pray ni free. na pia utazi download kwako na kuziunganisha pia uta hide notification kwenye cm yake. Pole sana
Kuna wanaume wana moyo aiseeeee......it takes so much kuwa na this kind of thinking......
huyo mkeo kweli PASUA KICHWA......
Pole sana ndugu yangu ,pole sana ,hapo ulipoweza kugundua anakucheat hapo hapo anzia kutafuta evidence
sijui unasubiri nini kwenye hiyo ndoa hakia Mungu kuuwawa na ukimwi?
ndo maana nikasema nahitaji ushahidi wazi yaani fumanizi
Tunaoa basi tu nafikiri ni ufahali wa kijinga haiwezekani wanawake wawe hivi then tuwavumilie.................
Kama ana simu ya mfumo wa android ichukue na install find my friend kwenye handset yake kupitia 91 luncher naku hide kutoka menu. hizi zote uta download through google pray ni free. na pia utazi download kwako na kuziunganisha pia uta hide notification kwenye cm yake. Pole sana
Dada Nivea suppose UKIMWI usingekuwepo? Unadhani hoja ya kuvunja ndoa isingekuwepo kwavile hakuna kuuana? Yaani msaliti aendelee kuvumiliwa?
Ngojea ninyooshee ukweli naojua mimi..
Sisi wanaume tuna tatizo sana nadhani Mie nilikuwa Kiongozi. Hakuna kitu inayomuuma mbaba kama kusikia mwanamke anayemwita mkewe kuna watu wanampandia huwa inauma zaidi ya uchungu Wa pakanga- frankly it pains a lot.
Mie nilipatwa Na maumivu hadi yakanipa wakati mgumu, ukichukulia mywife anafanya Kazi Za night shift Basi balaa, ukichukua cm yake utachoka, ukiendesha Na Kufanya Suprise visit ofcn kwake mid-night sometimes unakuta hayupo cm off. Nikapiga mkwara aache job naye akachimba bit Kama vipi nitoe talaka.
Sometime niliwaza kufanya vinasaba (DNA) Kwa Watoto to identify whether I am the real fadher. Nikachukua doc Kwa mwanasheria msobe Msobe hadi Ocean-Road hsp Kwenye dpt yake but on the way nikawaza how if I found SIO itakuwavipi Na jinsi navyowapenda wanangu can I handle?. Nakaachilia mawazo ile.
Nilishaorganize ndugu zake Na wazazi wanisaidie waowenyewe walichemsha. Imagine unafanya Suprise visit mid-night, kisha wanakwambia mkeo Leo yuko off au shift yake ni mchana Na SIO Mara moja Wala mbili , ukimuuliza simple anakujibu usimfuatilie Na Kazi . Ukiwaza kumpiga chini unawazia pia mstakabali wa Watoto Na heshima yako Mbele ya jamii.
Sina nia ya kukwambia my things Bali tu elewa unaposikitikia jambo wengine walishalia machozi ya Damu. Then lastly I got an idea, Kwamba Kama wanaume wenzangu wanachonga penseli zao humo kwani kichongeo wanakivunja? Waache wachonge wapendavyo maadam kichongeo Kina nguvu ok. Hapo nikawa flexible, nakumbuka was 2008. Then from that time nikapush Kwenye maendeleo sikuwa Na stress tena

Kaka kama kweli ulikuwa hujakutana na mwanamke kabla ya huyo na baada yake' jitahidi kupata ushauri kwa watu walio na uzoefu wa mambo hayo lkn sii uamzi unaotaka kuchukua huenda hata huyomkeo hajatoka nje ila anataka kutoka kwa kuwa kuna vitu anavitafuta havipati kwako na hata kama ukioa mwingine kama hujajua tatizo utaacha tena na tena na tena jitahidi kutafuta namna ya kumfanya mkeo awaone wenginene sii kitu lasivo utaoa sana.maana ya ngu hasa ni kuwa je mkeo unamfikisha; au unampa misosi tu halafu unamwacha anahangaika? Nawasilisha.
UKIMWI sio sababu pekee ya kuvunja ndoa, kuvunjika kwa ndoa kulikuwepo hata kabla ya ugonjwa huoDada Nivea suppose UKIMWI usingekuwepo? Unadhani hoja ya kuvunja ndoa isingekuwepo kwavile hakuna kuuana? Yaani msaliti aendelee kuvumiliwa?
Kama ingekuwa suala lingine ningekueleza namna ya kuhack facebook account,but kwa ajili ya kuvunja ndoa?no hapana HAPANA
mpe kichapo had akufungulie facebook account yake