Nataka kuvunja ndoa msaada wa ICT plz.


Pole kwa uamzi wako. Nadhani maamzi ndiyo silha ya mwisho kwa binadam
 
Pole sana kaka lazima ujichunguza kwanza mwenyewe wewe ni jembe na linajua kutifua kweli kweli kama uko poa fanya ivi take at easy kumbuka uoga ni dhambi chukua maamuzi huu tafuta mwanamke mwingine songa mbele usiangalie walimwengu watasema nn

Mkuu kukimbilia uamuzi kama huo pia una madhara kwake kwani waaminifu walivyo wachache sasa utabadilisha wangapi? Ni bora kukabiliana na tatizo ulilonalo tena kwa kina ili mwisho wa siku ukija na uamuzi uwe ni wenye maslahi thabiti kwako na hata kama ni kuwa na mwingine ni kumchunguza kwa makini na kwa muda mrefu ili usijeingia tena rong turn
 
ndo maana nikasema nahitaji ushahidi wazi yaani fumanizi

Hata kwa kumwomba Mungu atakuonyesha njia ya kuthibitisha ukweli, kwani uvumilivu na busara ndiyo utakaokufikisha mwisho wenye maamuzi mazuri japo inauma!
 
Omg!
Seriously? Yaani unakuta yupo off kakudanganya yuko kazini na unamezea?!

Sijui Mungu huwa anahusika na hizi match makings!

Swali, sio lazima unijibu lakini. Una nyumba ndogo? Manake najaribu kuwaza how do u distract urself from this zone reality!
 
its hard to judge case from single sided story..'
 
Pole sana kaka hakika inauma sana ............
 

Mh! Hata kama ukiweza kuvumilia ivo bado watoto watakuwa ktk mazingira mengine tena magum zaidi kwani hujui huko nje anakocheza kama kuko salama kwani kwa hali ya magonjwa ya sasa imagen yakawapata na mwisho wa siku mkaaga dunia hao watoto mtawaacha ktk mazingira gani? Je yatakuwa bora kuliko yale ya mzazi mmoja ama ya kutokuwa na mzazi hata mmoja? Iloko mkuu fikiria mara 2 huo uamuzi wako!
 
Dah hamna kitu inauma kama hiyo pole sana bro!!! Hali kama hiyo ilinipata miaka 7 nyuma. Ilinilazimu kutumia mbinu na ujuzi wangu wote wa IT kudaka mgoni(ambaye alikuwa baba yangu sio mzazi lakini) na kufanikiwa kuvunja uchumba niliokuwa nao.

*****ANGALIZO*****

Yataka moyo sana! Naomba uwe na uhakika kama kweli utakuwa na uwezo kuvumilia kile utachokiona. Wengi waliishia kuua na wenyewe kujimaliza.

USHAURI: Kama unajimudu tumia mbinu zozote za kumrubuni atajikanyaga tu mahali... Kama uliweza kupiga misele ya kutosha hadi ukamfanya mke naamini huwezi kushindwa katika hilo. Achana na haya ya kutafuta evidence yatakusumbua SIKU ZOTE ZA MAISHA YAKO.

Nawasilisha
 
Kama ingekuwa suala lingine ningekueleza namna ya kuhack facebook account,but kwa ajili ya kuvunja ndoa?no hapana HAPANA
 

Pole sana. Hizo Ndizo harakati za maisha dogo. Usivunjike moyo
 
Kwanza kabisa nunua computer ikiwezekana laptop nzuri ya nyumbani halafu unakua na modem ya internet kwa ajili ya kubrowse halafu iwekee yafuatayo
Spyware & key-loggers
Spyware is a type of software that spies on what you do on your computer. Key-loggers record what keys you press on your keyboard.
halafu iweke kwenye mazingira ambayo ataiona na kutumia mara kwa mara nawewe usiache kuitumia mara chache chache.
kingine usimfuatilie kabisa matumizi yake ya computer mpaka uwe na uhakika ameshatumia zaidi ya week mbili au mwezi hapo utapata unachohitaji.

kuhusu sms na simu tupa chooni cm yake na usimnunulie tena na akinunua nyingine tupa tena na atakae kuuliza amuoe yeye....
maji ukiyavulia nguo.....
 
Bro umeandika kwa uchungu sana pole aisee.
 

du! U are a strong man. Pole sana. Wanume wengi wamezoea kuumiza wake zao.sasa nikisikia mke anamsumbua mume namshangaa sana huyu m.mke.
 
Nataka niweke wazi kuwa chanzo cha mwanamke kukufanyia mikasa fulani na kuwa na jeuri fulani lazima kuna sehemu anayopata confidence hiyo. Kwa hiyo unatakiwa umjue mkeo anaringia nini mpaka akutese kiasi hicho. Nakupa mfano, kuna wanawake wamejaliwa uzuri sana na labda mke wako ni miongoni mwao lakini mpaka mnaoana labda wewe ndiyo ulilazimisha ndoa ili umwahi kabla wajanja hawajakuwahi.

Lakini matokeo yake mnafunga ndoa na mkeo anashindwa kuhimili vishawishi vya wanaume wakware wanaomtaka. Ikitokea hivyo jua kabisa huna chako, mfano mzuri naweza kuutoa wa ndoa ya Ndikumana na Irene Uwoya inaweza kuwa ushuhuda mzuri tu.

Pia huweza kutokea mara nyingine wanawake wakawa wanafanya kazi na kuwa na vipato vizuri ambavyo huwapa kiburi maana wanaona hawana cha kupoteza na suala la ndoa linabaki kama heshima. Wanawake wa namna hii wapo wengi sana nao ni miongoni mwa pasua kichwa.

Yote kwa yote, hata kama ikitokea una dizaini yoyote ya mwanmke hapo juu usiruhusu kabisa afanye umalaya huku ukijua mkeo anakusaliti wazi wazi, ni BORA KUFANYA MAAMUZI magumu kuliko kuendelea kuumia.

Ina uma sana unavyofikiria mkeo anatoa nje hujui huyo anayemkunyuga nje kama atamuacha salama bila kula kabang au kusalimika na magonjwa. Unabakia kupata uchungu usioelezeka.
Ili kuepukana na kupata magonjwa na kuzeeka kabla ya muda ni bora ukajitenga na mwanamke huyo hatua kwa hatua.

1.0 Unaweza kuwa hamshei ndoa lakini mnaishi nyumba moja kwa mustakabali wa wototo wenu ambao usingependa wakuulize maswali mengi juu ya mama yao. Watoto wakikua watajua nani mchokozi kulingana na mienendo watakayokuwa wanaiona na hapo unaweza kuchukua uamuzi wowote uutakao.

2.0 Kumuacha kabisa maana vitabu vyote vya dini vinaruhusu mwanmke mzinzi kuachwa.

Huo ni mtazamo wangu lakini.



 

mmmhhh wewe kweli mwanaume maana umefanya maamuzi magumu, ila kumbe kuna wanawake wakorofii eeeeh daaah!! pole sana yaani mtu night shift then ukienda unaambiwa hayupo job na leo yuko off??? aiseeee ...................
 
Reactions: awp
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…