sasa ukenge wangu nini si tunapeana ushauri tuuu ndugu, kama unavyoniambia nakuelewa mbona!Unajimaliza kenge wewe..
Mwili huwezi kuwa sawa siku zoote.
Ukenge wako kuja kuomba ushauri wakati ushatia mguu mmoja ndani.. Ungekuja hapa ukaelezea tatizo, watu wakushauri, sasa hapo unasema unataka kutumia viagara si ndio unajimaliza kabisa.sasa ukenge wangu nini si tunapeana ushauri tuuu ndugu, kama unavyoniambia nakuelewa mbona!
Mimi nipo kwenye IT Industry kakaUnafanya kaz gan kwanz nianglie 'ris
kwanini mkuuTahadhari! Ukiwa na pressure ya kupanda ukitaka kutumia viagra, inabidi kwanza uage ndugu zako na kuandika wosia.
Anhaaa how long you work a day!? It may be there's immediate situational reasons... Imejirudia mara ngap!?Kuna thread nying mno z hii kesi na zinazofann n hii.. Kila siku wanasema wataalamu huwez kuijaji siku 1 kwa upunguf w nguv z kiume
Mimi nipo kwenye IT Industry kaka
Go hereNdugu wapendwa habari za jioni hiii, nimekuja kwenu kutafuta kujuzwa kuhusu utumiaji wa dawa za kuongeza nguvu za kiume (viagra).
Jana nilipatwa na mshituko kwani nilikwenda kwenye mambos na mpenzi wangu wa siku zote na katika kuhitimisha mambo yetu kila kitu kilienda sawa kwenye romance na mzee alikuwa yuko ngangari kabisa.
Wakati tunaendelea na roms nikafika wakati wa kufanya mambo nilishangaaa stimu ilitoka kabisa kichwani na mambo yakawa mabovu ghafla, nilijitahidi kurudi mchezoni lakini sikufanikiwa kwani nilipatwa na msongo wa hali ya juu kuhusu hali ile na kwa vile muda ulikuwa haurusu basi shughuli ilishia hapo hapo.
Je, naweza kujuzwa ni jinsi gani viagra inavyoweza saidi katika hali kama hii?
Nawakilisha