Nataka kutumia simu yangu kama modem nitumie program gani?

Nataka kutumia simu yangu kama modem nitumie program gani?

Na vile vile sio kitu cha kurecomendia mtu kirahisi rahisi kama vile ubuntu ni software hapana ni OS. na pia ina itaji ujuzi au mafunzo kidogo ili uweze kuimaster coz ni mfumo tofauti kabisa na windows ni vyema ubakie na windows 2 coz kule utajichangaya but anyway UBUNTU ni free kabisa na unaweza ipata hapa Download | Ubuntu vile vile jinsi ya kui set up mpaka uweze tumia na pia software zake nitofauti na hizi ambazo umezizoea na huwezi ukainstall software ya windows kule ata kama ndio kuna emulators lakini mpaka uweze kumaster na kuitumia lazima upewe maelezo kina na expert au njia nyigine ambao wengi tunatumia ni kuinstall UBUNTU alongside windows yani uwe na Operating System mbili workstation yako iwe Windows but utumie Ubuntu kama sehemu ya kucopy files kutoka kwa watu na kwenda kwa watu coz viruses hawa tunaowajua au wenye kutake effect kwenye Windows ni sawa sawa na corrupt file au file lisilotumika kule na kuwa na no funtion and can be easily spotted and deleted. Hayo ni mawazo yangu 2
 
thanks guys kwa mchango wenu inshort nimewasoma na nafurahi kuwa mwanajanvi!
 
Naomba msaada wa program itakayoniwezesha kutumia simu yang kama moderm. Nakumbka kuna wakati msela wang alinpa nimeisahau ilikuwa na uwezo wa kutumia simu yoyete ile kukonect na internet. Naomba msaada wana JF nimepen maujanja simu yang n nokia
Mkuu kama unataka kutumia simu yako kama ni Modem ya kuunganisha baina ya Computer au laptop yako na internet tumia njia yangu hiii hebu soma hapa chini

Connect to internet on PC using GPRS Cell Phone via Bluetooth

This guide shows you all the configurations steps needed to add a mobile phone as a Bluetooth modem to your computer. You can simply use your cell phone as a modem. We are using computer running Windows 2000 without modem, a TDK USB Bluetooth dongle (version 1.3.2.7), and a Ericsson T39m in this example.

Here we go step by step to connect internet on computer using GPRS phone:
1. Right Click on my network Places and Select Properties to see Network Connections

1My-_Network-Places.jpg

2. Then double-click the "Make New Connection" icon.

2Network-and_-dial-up-connection.jpg

3. The wizard will start, then click the Next button.

3network-connection-wizard1.jpg

4. Select the "Dial-up to the internet" option. As shown below.

4network-connection-wizard2.jpg

5. Select the last option to manually enter the configuration for this connection. See image.

5network-connection-wizard3.jpg

6. Select phone line and modem option to connect internet.

6network-connection-wizard4.jpg

7. Wizard will start the installation of new modem as in this example we don't have modem. Select "Don't detect my modem and click Next.

NOTE: If you already have a modem installed, then you can directly go down to step number 14.
7install-new-model-wizard1.jpg

8. Find the manufacturer and model from the list. In this case, its Ericsson T39 Bluetooth Modem.

8install-new-model-wizard2.jpg

9. In wizard to select the COM port, Right-click the Bluetooth icon in the system tray and select Advanced Configuration.

9bluetooth-icon-system-tray.jpg

10. Click the Client Applications tab to view the Bluetooth Serial Port. Check Client, not the Local Service port.

10bluetooth-configuration.jpg

11. Come back to the Wizard and then select the correct COM port.

11nstall-new-model-wizard3.jpg

12. Sometimes the driver does not have a Digital Signature. Just click Yes to continue the installation.

12digital-signature.jpg

13. Click finish to end the wizard and you get the new model installed.

13nstall-new-model-wizard4.jpg

14. The Wizard will then create the Connection itself. Uncheck "Use area code" because we just want to dial the GPRS code. Use the default GPRS configuration in the SIM Card. Then click the Next button.

14internet-connection-wizard1.jpg

15. In this case Vodafone does not require these fields, you have to check with your carrier.
15internet-connection-wizard2.jpg

16. In this step just give a name to your new connection.

16internet-connection-wizard3.jpg

17. Select Yes or No to setup internet e-mail (you don't need this if you already have your configuration done).

17internet-connection-wizard4.jpg

18. Click Finish to complete internet Connection Wizard.

18internet-connection-wizard5.jpg

19. To connect, just double-click the new Connection icon. (You can also create a shortcut on desktop.)

19network-and-dial-up-connections.jpg

20. You will see the "Dialing" dialog, and the Bluetooth icon in the System Tray will go green.

20dialing.jpg

21. You will get the notification when your connection is established.

21notification.jpg

22. Look at "My Bluetooth Places" again and you will see the mobile icon showing a connection is established.

22my-bluetooyj-places.jpg

23. Now, Internet Explorer will set the new connection as the default one. If you start Internet Explorer it will ask to connect. Click on "Work Offline".

23dial-up-connection.jpg

24. On Internet Explorer click Tools => Internet Options => Connections tab. Change your default connection or "Never dial a connection" if you want to use a LAN connection by default.

24nternet-options1.jpg
 
Nilikuwa natumia Nokia PC Suit lakin sasa hivi inazingua inanambia Nokia Cable driver not installed lakin nikicheki nokia cable driver iko installed so ndo maana natafuta program nyingne.

Kaka ina option ya kuconnect kwa kutumia Bluetooth sio lazima cable,try that
 
thanks for many knowledge in this forum
 
Na vile vile sio kitu cha kurecomendia mtu kirahisi rahisi kama vile ubuntu ni software hapana ni OS. na pia ina itaji ujuzi au mafunzo kidogo ili uweze kuimaster coz ni mfumo tofauti kabisa na windows ni vyema ubakie na windows 2 coz kule utajichangaya but anyway UBUNTU ni free kabisa na unaweza ipata hapa Download | Ubuntu vile vile jinsi ya kui set up mpaka uweze tumia na pia software zake nitofauti na hizi ambazo umezizoea na huwezi ukainstall software ya windows kule ata kama ndio kuna emulators lakini mpaka uweze kumaster na kuitumia lazima upewe maelezo kina na expert au njia nyigine ambao wengi tunatumia ni kuinstall UBUNTU alongside windows yani uwe na Operating System mbili workstation yako iwe Windows but utumie Ubuntu kama sehemu ya kucopy files kutoka kwa watu na kwenda kwa watu coz viruses hawa tunaowajua au wenye kutake effect kwenye Windows ni sawa sawa na corrupt file au file lisilotumika kule na kuwa na no funtion and can be easily spotted and deleted. Hayo ni mawazo yangu 2
Ukiinstall wine kwenye ubuntu inakupa mazingira ya kuinstall programs za microsoft ndani ya ubuntu.. Unaezaweka ms office nk
 
Back
Top Bottom