Nataka kutumia Blackberry Bold 9000 kama Moderm

mfianchi

Platinum Member
Jul 1, 2009
11,843
8,232
Ndugu Wataalamu,
Naomba msaada wenu,nataka niitumie BB yangu kama moderm kwa ajili ya Internate kwenye Laptop yangu yaani nataka itumike kama vile zile moderm za 3G za Zantel au Zain.
Sijui unaweza ku configure vipi sababu niliwahi kumuona mtu akisurf kwenye laptop yake akitumia Laptop,
Natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom