Nataka kutumia 500k kwenye betting

Nataka kutumia 500k kwenye betting

Mie mbona naweka laki au laki mbili kwa odds za 2 mpaka 2.5 lakini majonzi tuu kaka.
Ila nashangaa watu wanaweka timu 7 mpak 10 na wanapatia zote sijui wanawezaje.... Na unakuta kaweza buku tuu.
Wenzako wanetembea na over 1.5 full time

Ila pia sio guarantee inaweza chanika pia [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Options ngumu kuliko zote ni correct score labda wale wanaoamini kwenye fixed matches ambazo mimi kuziamini may be siku hiyo niwe refa maaana hata goli la penati nitalikataa

BETTING NI BIASHARA mojaninalipa Sana ukiwa na mtaji Ila USIWE na tamaaa
Mtaji kiasi gani na sie tuwekeze
 
Dah,,watu mnabahati zenu kwenye multbet,,
Mm nikiweka team zikazidi nne ni maumivu tu,,napigwa sana na mdosi,,
Ila nikiweka 2 au 3 ni sherehe tu

hayo aliyoyaweka kwanza ni matimu mamamba alafu pili yapo home hayo yan noma tupu mzee ni wapo home mkuu
 
Back
Top Bottom