Nataka kutumia 500k kwenye betting

Nataka kutumia 500k kwenye betting

Jiunge bet pawa. Jackport yao ya mil 10 kwa mech 13 na ya mil 200 kw mech 17 ina bei ndogo kwa mkeka yan tsh100. Ukiweka 5000 una mikeka 50 ya kubadilisha badilisha bets. Bet ya mech moja hailip zaid ya lak 5 kwa kampun nying. Pia m bet ni wazur kwa jackpot mech 12.
 
Unafungua account sindio
 
Hela ipo ila tulia,,tafuta kwanza mechi ambazo timu zake unazijua vizuuri,ambazo odds zake zipo vizuri,
Jitahidi sana uweke mechi 3 au 2 tu,
Sport pesa ni mara chache wanaweka odds nzuri ila uzuri wao kulipa wako chap,
Meridian pia wako poa,

Ahsante mkuu
 
kwanza kabisa niseme tu mimi ni nguli wa stake gunia,
sasa twende kwenye mada yako, 500k unaichukulia kwa uzito gani kwako?,can you afford to loose it?
ok mybe jibu ni ndiyo.sasa mimi sikushauri hata kidogo kwenda kubeti stake kubwa kama bado huna style uliyoimaster kisawasawa, hapa kila mtu atakushauri mode anayotumia yeye ila wewe kabla hujaanza kuweka stake kubwa inabidi ujue ni mode ipi inakupa mafanikio,nikimaanisha kuwa odds don't matter,
what matters is you win more than the way you lose.
so try to make your own demo and play,master the game then come and win in betting
 
mi nimemshauri bets za jackports mana unaliwa kidogo ukiwa na ndoto za pesa ndefu. mf. betpawa utafukuzia mil 200 au bonuses za chin ya hapo za mil20, mil3, lak 8, kwa sh 100 kila bet au mkeka 1 wa mech 17. au mil 10 kwa bet ya mechi 13 kila mkeka. au unafukuzia mil 150 au bonuses ukikosea kdogo mech 3 chin ya hizo 13, kwa bet ya sh 1000 mechi 13 kupitia m bet. Au sportpesa unafukuzia sh mil 780 kwa mkeka wa mech 13 na bonuses km umekosea mech 3 kupiga zote. hapa kila et 1 ni sh 2000. HII HALI INATIA MATUMAINI YA KUKWAMUKA KIMAISHA HATA UKIKOSA KULIKO MNAVYODHANIA. NI SAWA NA KUWA UNADAI KUMBE MDAIWA HANA MPANGO WA KUKULIPA.
 
Hela ipo ila tulia,,tafuta kwanza mechi ambazo timu zake unazijua vizuuri,ambazo odds zake zipo vizuri,
Jitahidi sana uweke mechi 3 au 2 tu,
Sport pesa ni mara chache wanaweka odds nzuri ila uzuri wao kulipa wako chap,
Meridian pia wako poa,
Mkuu betpawa wana bonus nzuri na wanalipa faster! Tatizo la sportpesa hawana bonus
 
Wale wazee wa kubet nipeni ushaur hapa nataka kutumia 500k kwenye betting weeknd hii lengo nipige 10m najua inawezekana, Je ni betting( campun nzuri kwa kubetia??) na nitumie option zipi ambazo zinatoa kirahisiii

Weekend hii muhindi lazima aliwe!!
Ungekuwa serious leo ungekuwa na m 3
20190812_123910.jpg
 
Attachments

  • 20190812_124015.jpg
    20190812_124015.jpg
    15.9 KB · Views: 56
  • 20190812_123924.jpg
    20190812_123924.jpg
    43.8 KB · Views: 69
  • 20190812_123948.jpg
    20190812_123948.jpg
    29.8 KB · Views: 55
Google faster uinstall app yao. Wako vzr sana kwenye bonus. Jana nilikosa 8.6m kwa PSG kushindwa kupata goli la pili first half. Yaani niliweka over 1.5 half time.
Chief betpower ipo app yao play store nizame fasta nikahakikishe,,?
 
Back
Top Bottom