Nataka kutimua WAKENYA! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nataka kutimua WAKENYA!

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Mnyamahodzo, Jan 28, 2011.

 1. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #1
  Jan 28, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Mmiliki wa ardhi ya Tanzania anapaswa kuwa mtanzania. Sasa kuna mkenya kanunua ardhi kwa wanakiji fulani akijua wazi kuwa yeye hastahili kuipata hiyo ardhi.
  Pia hili la ardhi lilikataliwa hata kuingizwa katika mkataba ule wa nchi za Afrika Mashariki.

  Sasa, naomba mwongozo/msaada wa kisheria namana ya kumzuia asimiliki hiyo ardhi. Bado hajapata hati miliki.
   
 2. K

  KAUMZA JF-Expert Member

  #2
  Jan 31, 2011
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 685
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Kwa madhumuni ya uwekezaji kama yanavyoainishwa na Tanzania Investment Centre anaruhusiwa kumiliki ardhi na huwa anapewa kitu kinachoitwa DERIVATIVE RIGHT. Kwa msaada zaidi tafuta sheria ya ardhi ya Tanzania na usome kifungu cha 20(2). Ila kama ni kwa madhumuni ya makazi tu, haruhusiwi.
   
 3. K

  KAUMZA JF-Expert Member

  #3
  Jan 31, 2011
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 685
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Kif cha 59(2) cha sheria ya ardhi kinamruhusu mtu asiye raia kuweza kumiliki ardhi kwa minajiri ya uwekezaji tu. Na hapa hupewa derivative right tu. Kabla ya hatua yako lazima ujiridhishe, ni muwekezaji au la.
   
Loading...