Nataka kusoma lakini wazazi wangu hawana uwezo wa kunisomesha

Itzmusacmb

JF-Expert Member
Jun 22, 2016
1,531
1,133
KUMBUKA: Kama hujisikii kunishauri na upo hapa kukosoa naomba usisome hii post

Wana JF nina stress kwanza mzazi wangu hana uwezo na mimi nataka kusoma so nikiangalia wenzangu ambao tulisoma wote O lever wapo chuo wanasoma diploma na bachelor and mimi nipo home tu, in addition sina kazi na nimetafuta kazi mpaka nmechoka (japo sijakata tamaa ) na sijafanikiwa.

Kadhalika sina sina rafiki wa kukaa nae kunipa ushauri maana sisi vijana wa siku hizi kwanza wavivu, tunataka short cut so story zao ni uhuni, mapenzi, muziki na mipira tuu vitu ambavyo havitanijenga na nikisema nitafute wenye mawazo mbadala wote huwa bize na kazi zao so in this case nabaki tuu na strees tuu mpaka nakosa hamu ya kula, na najiona sina sababu ya kuishi na nikiona mtu aliye na mafanikio mwenye rika langu (22yrs) nataman kufa yani

Nawasilisha
 
KUMBUKA:Kama hujisikii kunishauri na upo hapa kukosoa naomba usisome hii post

Wana JF nina stress kwanza mzazi wangu hana uwezo na mm nataka kusoma so nikiangalia wenzangu ambao tulisoma wote O lever wpo chuo wanasoma diploma na bachelor and mm nipo home tuu, in addition sina kazi na nimetafuta kazi mpaka nmechoka (japo cjakata tamaa ) na cjafanikiwa, kadhalika sina sina rafiki wa kukaa nae kunipa ushauri maana sisi vijana wa cku hizi kwnza wavivu,tunataka short cut so story zao ni uhuni,mapenzi,muziki na mipira tuu vitu ambvyo havitanijenga na nikisema nitafute wenye mawazo mbadala wote huwa bize na kazi zao so in this case nabaki tuu na strees tuu mpka nakosa hamu ya kula, na najiona cna sabab ya kuishi na nikiona mtu aliye na mafanikio mwenye rika langu (22yrs) nataman kufa yani ,
Nawasilisha
Ni vigumu sana kwako kusoma sasa kutokana na maisha uliyonayo, hivi kwanini usikae library ukasoma hicho unachotaka kusoma kwa sasa?
 
Ni kipindi cha kuelekea kujitambua bado u mbichi kabisa kufikia kuwaza haya ...hizi ni changamoto za kuelekea ukubwani bado huna majukumu ya maisha usikate tamaa njia yako bado ni nyeupe sana
Aisee asante
 
Ni vigumu sana kwako kusoma sasa kutokana na maisha uliyonayo, hivi kwanini usikae library ukasoma hicho unachotaka kusoma kwa sasa?
Ninaposema kusoma nina maana ya kwenda darasani na kupata ujuzi na knowledge, siyo kureview vitu
 
Wewe umejitambua. Usikate tamaa. Nakushauri tu uwe makini usije ukaharibu maisha yako kwa kujiingiza kwenye tabia na matendo ambayo yatavuruga future yako kabisa. Maana kutokana na hali unayopitia kwasasa wewe uko vulnerable.

Muhimu tambua kuwa hayo ni mapito tu. Unakomaa sasa. Jiwekee malengo sahihi yanayotekelezeka...ya muda mfupi na muda mrefu. Jitume uyatekeleze!! Kila la kheri kaka/dada
 
Kwanza pole sana mdogo wangu, ila kumbuka kwa kiswahili kuna msemo mmoja "mbuyu pia ulianza kama Mchicha" au kwa kimombo wanasema Every boss started as a worker. Sioni sababu ya wewe kutamani kufa. Mitihani is part of life unapoesema unatamani kufa its wrong unamkufuru mungu. The only thing I can advice in get a job usikimbilie high jobs coz huna experience or profession once ukipata unaweza ukajisomesha. Nitafute in private I will give you a brief history of my life how I started mpaka Leo Niko niliko.
 
KUMBUKA:Kama hujisikii kunishauri na upo hapa kukosoa naomba usisome hii post

Wana JF nina stress kwanza mzazi wangu hana uwezo na mm nataka kusoma so nikiangalia wenzangu ambao tulisoma wote O lever wpo chuo wanasoma diploma na bachelor and mm nipo home tuu, in addition sina kazi na nimetafuta kazi mpaka nmechoka (japo cjakata tamaa ) na cjafanikiwa, kadhalika sina sina rafiki wa kukaa nae kunipa ushauri maana sisi vijana wa cku hizi kwnza wavivu,tunataka short cut so story zao ni uhuni,mapenzi,muziki na mipira tuu vitu ambvyo havitanijenga na nikisema nitafute wenye mawazo mbadala wote huwa bize na kazi zao so in this case nabaki tuu na strees tuu mpka nakosa hamu ya kula, na najiona cna sabab ya kuishi na nikiona mtu aliye na mafanikio mwenye rika langu (22yrs) nataman kufa yani ,
Nawasilisha
Mwanamume komaa na ni dhambi kwa mwanamume kukata tamaa. Hali hii ya kukata tamaa wewe siyo wa kwanza lakini unapaswa uelewe kuwa wengi waliofanikiwa maisha basi baadhi yao walifikia hali hiyo lakini walijipa moyo wa kuendelea.
Mfano wa karibu ni wa yule anayemiliki magazeti ya uwazi [mengine siyafahamu] lakini niliwahi kusoma hadithi ya maisha yake ni sawa kabisa nawe lakini leo jamaa amefanikiwa vizuri sana na katika kufanikiwa kwake hajamsahau mungu hata kidogo
 
Ninaposema kusoma nina maana ya kwenda darasani na kupata ujuzi na knowledge, siyo kureview vitu
Subiri na sali sana kama unasubiri kwenda kusoma Darasani, Hukubahatika kusoma mpaka muda huu na pia unataka kwenda kukaa darasani?
Unategemea kumaliza lini kusoma na kupata ajira?
Eti kureview vitu? Kuna njia mbili za kusoma
1. Kusoma kwa uwepo wa mwalimu
2. Kusoma kwa kutokuwepo mwalimu(Kwa kutumia vitabu).
ulifkiri akina Bill gates, Steve Jobs na wengne walisubiri na kun'gan'gania shule hadi leo? ulifkiri walipoteza muda wao kama wewe kusubiri kuingia darasani? nafkiri kwanza tafuta maana ya knowledge na jinsi gani inapatikana then ndo uanze njia za kutafuta ili urudi darasani. Itumie akili yako.
 
Kwa nini usitafute kajibiashara tuu fulani, hako kanaweza kukusaidia kupata vijisenti vya kulipia shule au kozi unayotaka kusoma. usikate tamaa. Huna haja ya biashara kubwa sijui ukatafute mikopo, biashara ndogo tuu. Na wala usiangalie nani anakuangalia, haya ni maisha yako. All the best, kila kitu kinawezekana chini ya jua.
 
Kwanza pole sana mdogo wangu, ila kumbuka kwa kiswahili kuna msemo mmoja "mbuyu pia ulianza kama Mchicha" au kwa kimombo wanasema Every boss started as a worker. Sioni sababu ya wewe kutamani kufa. Mitihani is part of life unapoesema unatamani kufa its wrong unamkufuru mungu. The only thing I can advice in get a job usikimbilie high jobs coz huna experience or profession once ukipata unaweza ukajisomesha. Nitafute in private I will give you a brief history of my life how I started mpaka Leo Niko niliko.
Kwa nini usii-shee(share) hiyo story yako hapa jukwaani ili iweze saidia na wengine. I am sure kuna wengine wengi tuu ambao wana tatizo kama la huyo kaka sema hawana courage ya ku-admit mbele za wengi. Story yako inaweza wapa matumaini. Just my opinion, thanks.
 
Kwa kuwa umesema hauchagua kazi yoyote halali jaribu kutembelea sehemu zifuatazo bila kujali kama wametangaza nafasi za kazi au la, wakati mwingine riziki tunakutana nazo huko huko;-
1. Kampuni za Ulinzi
2. Kwenye Hoteli za Kitalii na Kawaida kuna baadhi ya Kazi huitaji kuwa umesoma Hotel Management Whatever
3. Car Wash/ Sehemu za kuosha Magari
4. Kampuni za Ujenzi/ Construction Sites.
5. Viwandani hususani vya Wachina/Wahindi hawa ni mabingwa wa kuajiri na kufukuza papo kwa papo
6. Bado naendelea kufikiria...........................
 
Subiri na sali sana kama unasubiri kwenda kusoma Darasani, Hukubahatika kusoma mpaka muda huu na pia unataka kwenda kukaa darasani?
Unategemea kumaliza lini kusoma na kupata ajira?
Eti kureview vitu? Kuna njia mbili za kusoma
1. Kusoma kwa uwepo wa mwalimu
2. Kusoma kwa kutokuwepo mwalimu(Kwa kutumia vitabu).
ulifkiri akina Bill gates, Steve Jobs na wengne walisubiri na kun'gan'gania shule hadi leo? ulifkiri walipoteza muda wao kama wewe kusubiri kuingia darasani? nafkiri kwanza tafuta maana ya knowledge na jinsi gani inapatikana then ndo uanze njia za kutafuta ili urudi darasani. Itumie akili yako.
Upo sahihi ila note that college zina kitu knachoitwa fees na hata hzo library pia na huwezi kwenda kusoma cku 1 au 2
Kwa nini usitafute kajibiashara tuu fulani, hako kanaweza kukusaidia kupata vijisenti vya kulipia shule au kozi unayotaka kusoma. usikate tamaa. Huna haja ya biashara kubwa sijui ukatafute mikopo, biashara ndogo tuu. Na wala usiangalie nani anakuangalia, haya ni maisha yako. All the best, kila kitu kinawezekana chini ya jua.
 
Kwa nini usii-shee(share) hiyo story yako hapa jukwaani ili iweze saidia na wengine. I am sure kuna wengine wengi tuu ambao wana tatizo kama la huyo kaka sema hawana courage ya ku-admit mbele za wengi. Story yako inaweza wapa matumaini. Just my opinion, thanks.

i agree with u
 
Back
Top Bottom